Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Kama una sura ya kike kabla hujajiita una jinsia mbili
wasiliana kwanza na daktari kwani kuna wanawake wana kuwa na clitoris kubwa au ndefu
mfano wa naniliu ya kiume. Hivyo unaweza kukuta na wewe ni mmoja wao.
Lakini kama daktari atathibitisha kwamba uko hivyo yaani jinsia mbili,
basi uwe mvumilivu utampata mwanaume mwenye jinsia mbili,
maana duniani wawili wawili. Ili mkiishi kama mme na mke hakuna atakayegundua
maana mmoja atakuwa na sura ya kike na mwingine ya kiume,mengine itakuwa siri yenu ya ndani.
Sasa ikitokea wote wamepata mimba itakuwaje?
 
Kapicha please? Maana hata sielewe hii ikoje
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
 
Pole sana ila natamani ueleze kama zote ni active, iweje uamue kuwa unamtaka mwenza wa kiume?? Huoni hapo ni hatari kuwa waweza siku asipokutimizia kisawasawa ukam nanihinoo?

Pili, ni ipi iko juu ya nyingine? Kwani kuna wengine dume iko juu ya k hata kojoo hutokea k.

Haya ni mambo ya kuangalia ili weye usimchukie mwenzio atakaye jitosa.
Nawaza mm
 
Hili ni balaa.. zote zina amka kwa pamoja..

d668aa07e37f505118c342a34abbbb93.jpg


Kwanini msiingie Google au wikipedia
mnawadanganya wenzenu ETI hakuna wenye jinsia mbili
nasema wapo na wanatumia kotekote hata Mji wangu hapa Tanzania yupo
msinitafutie BAN
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom