Recent content by getright

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kuungwa 30GB na dakika kibao kwenye mtandao wa simu ni kweli au utapeli?

    Wadau kuna watu wanajitangaza kwenye mitandao ya kuwa wanaweza kukuunga bando la 30gb na dk kibao kwenye mitandao ya voda, halotel n.k kwa sh 10,000 au 15,000. Jamani hawa watu ni wakweli au ni matapeli? Naomba ushauri wenu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kukopa Fanikiwa Microfinance

    Mkuu, Issue ni kupata experience kwa wale waliowahi kukopa na kuogopa kuingizwa chaka.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kukopa Fanikiwa Microfinance

    Wadau naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kukopa Fanikiwa Microfinance, Afisa Mikopo wao kaja kunitembelea na kunishawishi kukopa kwao. Akanieleza kuwa ukikopa mfano milioni 5 kwa miaka miwili unaweza ukakatwa 393,250 kwa mwezi. Lakini kama nitaweza kurudisha mkopo baada ya miezi sita kabla...
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga v/s Mbeya city kurudiwa,itapigwa Dodoma!!

    This is nosense, haingii akilini. Kila siku munataka mushinde nyie tu?!
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    nipeni link ili niweze angalia online wadau!
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

    Thanks, mkuu inapatikana online? tupe link
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

    Laana ya pesa za Twite hiyo, yanga itawatafuna mpaka baaaaaaaaaaasi vinginevyo mulipe deni munalodaiwa.
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

    Ungekuwa Yanga damu ungekuwa uwanjani sasa hivi
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi mbalimbali za kazi za Hotel

    Ndugu yangu, masuala ya kupeleka barua kwa mkono hayapo lengo ni kuepuka rushwa ya kujuana. Wewe apply kama wengine then, kwa kuzingatia your qualifications na uzoefu utaitwa kwenye interview.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi mbalimbali za kazi za Hotel

    One of the tourists and classic hotel which is at the city centre of Dar es Salaam invites qualified personnel to fill vacant posts as shows bellow. I: Junior positions 1. Receptionists 2. Room attendants 3. Waiters 4. Cooks 5. Storekeeper 6...
Back
Top Bottom