Kukopa Fanikiwa Microfinance

Kukopa Fanikiwa Microfinance

getright

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
10
Reaction score
4
Wadau naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kukopa Fanikiwa Microfinance,
Afisa Mikopo wao kaja kunitembelea na kunishawishi kukopa kwao. Akanieleza kuwa ukikopa mfano milioni 5 kwa miaka miwili unaweza ukakatwa 393,250 kwa mwezi. Lakini kama nitaweza kurudisha mkopo baada ya miezi sita kabla ya muda wenyewe wa mkopo ina maana nitatakiwa kurejesha (393,250 X 6) Jumlisha (5,000,000 - (393,250x6)). Yaani utalipa ile ile amount ya milioni tano hivyo utaepuka ile riba uliyotakiwa kulipa ndani ya miaka 2.
Je hii ni kweli au kauli za kushawishi tu?
 
Mkuu naomba nikuonye hao jamaa ni SUMU kabisa hata hawafai. Kama ni mfanyakazi nenda kakope benki nakuapia utajita. Mimi nilikopa kwa hao MBUZI nikawa nakatwa kila mwezi. Baadaye nikawa nikataka kwenda kuclear deni lilobaki hela niliyoandikiwa kurudisha mpaka nilitaka kupata presha. Na wanafanya hivyo ili usirudishe mkopo uendelee kukatwa mana ndo faida wanapoipata. Siku nikamtafuta yule Afisa aisee nilijuta mana ukishakopa wanajua umeshaingia nyavuni watakusumbua mpaka uchoke. Nashukuru kimkopo chao kilishaisha. Kitu kingine wanakwambia mkopo masaa 24 mimi nilipewa baada ya wiki tano yaani jana leo wamenipa mkopo kesho mshahara ukaingia wakakata chao.
NOTE: Acha kabisa hilo suala hata usiwazie hilo.
 
Duh,
Huu ni zaidi ya UJAMBAZI

unakopa Millioni 5 ndani ya miaka 2 Kisha unawarudishia Millioni 18.
[emoji116] [emoji116]

393,250 × 48 = 18,876,000

In short,
Riba yao ni 138.7% kwa Mwaka

Wakati NMB na CRDB wao riba ni 20% kwa mwaka.

ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZA KWAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo riba utakua 30% wezi ao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna mtu humu JF aliniambia ati kuogopa kukopa ni woga wa kimaisha.
 
Duh,
Huu ni zaidi ya UJAMBAZI

unakopa Millioni 5 ndani ya miaka 2 Kisha unawarudishia Millioni 18.
[emoji116] [emoji116]

393,250 × 48 = 18,876,000

In short,
Riba yao ni 138.7% kwa Mwaka

Wakati NMB na CRDB wao riba ni 20% kwa mwaka.

ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZA KWAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo 48 ni ya nini mkuu sio ni 24?
Ambayo ukimaneuver huko kwa mwaka ingeleta riba ya 45% ivi.. Huku kwenye hiyo option ya miezi 6 nimeona kama kakichaka flani ivi
 
Duh,
Huu ni zaidi ya UJAMBAZI

unakopa Millioni 5 ndani ya miaka 2 Kisha unawarudishia Millioni 18.
[emoji116] [emoji116]

393,250 × 48 = 18,876,000

In short,
Riba yao ni 138.7% kwa Mwaka

Wakati NMB na CRDB wao riba ni 20% kwa mwaka.

ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZA KWAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli umepigia hesabu ya miaka minne.
 
Utajuta mkuu!
Usijaribu
IMARIKA
FAIDIKA
FINCA
na wenzao wengi
 
Duh,
Huu ni zaidi ya UJAMBAZI

unakopa Millioni 5 ndani ya miaka 2 Kisha unawarudishia Millioni 18.
[emoji116] [emoji116]

393,250 × 48 = 18,876,000

In short,
Riba yao ni 138.7% kwa Mwaka

Wakati NMB na CRDB wao riba ni 20% kwa mwaka.

ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZA KWAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmb riba ni 17%, crdb ni 17%, nbc ni 18%, vibenk uchwara ni 20 hadi 24%
 
Si kweli umepigia hesabu ya miaka minne.
Hilo ni Kweli mkuu,
HEBU BASI TUIFANYE KWA MIAKA 2

Itakua
393,250 × 24 = 9,438,000

Riba yao itakua ni sh.4,438,000

Ambayo ni sawa na 88.76% KWA MWAKA

Kiukweli,
Hii bado Naiona ni Riba ya kumfanya MTU aishi kama SHETANI kipindi chote cha MKOPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom