Recent content by geri255

  1. G

    Bloomberg: Tanzanian Leader's War for Taxes Puts Economy in Firing Line

    Kwenye hiyo article Alex cobham anasupport anachofanya magufuli ila tu approach ndio inatakiwa iangalie na amesema hizi kampuni zimekuwa zikiibia nchi nyingi africa
  2. G

    Wawekezaji wote wa Barick/ ACACIA kuondoka rasmi Tanzania mwezi februari 2018?

    Yaan nilipoona Acacia na GGM nikajua hili Tango GGM ni kampuni tofauti na haipo kwenye majadiliano na serikali
  3. G

    Tuijue Mahakama ya London Court of International Arbitration

    Asante mkuu Kwa hii post yako nimeelewa mengi manake walishaanza kutupoteza ohh eti tumeshitakiwa
  4. G

    Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    Huwezi kumhisi mtu mwenye SMG huyo sio raia mwema unajua tz huruhusiwi kumiliki zana Kama hiyo
  5. G

    Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    Uhakika gani unataka raia mwema hamiliki silaha ya kivita
  6. G

    CHADEMA kuongea na Wanahabari kesho Tarehe 16.06.2017 majira ya Saa 5 asubuhi

    Huo sio ukilaza ndio ukweli wenyewe siasa ni watu hata Kama hawajui kisoma wala kuandika ndio wapiga kura
  7. G

    Mitandao ya simu kutoa siri za wateja, uhuru wa faragha upo wapi?

    [emoji23][emoji23][emoji23] hawa CDM ni kupinga kila kitu bila udukuzi mambo hayaendi wote hapa tunadukuliwa
Back
Top Bottom