Recent content by georgemsengi

  1. georgemsengi

    Hizi ndio sayari zinazoonekana kwa maco usiku wa leo.. 02.10.2018..look up..

    Na hiyo milima chini ni ya mwezi au ? Mimi naona vile vile manyota tu!
  2. georgemsengi

    Nahitaji malori ya kukodi

    Ulipata?
  3. georgemsengi

    Wapi nikachangamkie fursa ya mazao kipind hiki cha uhaba wa chakula nchini.

    Pia gunia la kilo 100 la mahindi linatoa unga kilo ngapi?
  4. georgemsengi

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Salama mkuu, faida ipo katika hiki kilimo?
  5. georgemsengi

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    mkuu, je naweza pata eneo la kukodi huko nikalima mihogo, naomba mawasiliano yako?
  6. georgemsengi

    Nauza mayai trei Tshs.6350/

    nakuletea kama ni trei zaidi ya 15. ila iwe sio mbali na kinondoni.
  7. georgemsengi

    Nauza mayai trei Tshs.6350/

    nauza mayai trei ni tsh 6350. napatikana dar kinondoni- 0788812958
  8. georgemsengi

    Nauza mayai trei 7000

    Pata mayai ya kizungu, ukichukua trei kuanzia 10 nauza 7000, nipo kinondoni. karibuni kwa oda mayai yapo.
  9. georgemsengi

    Nauza Trey tupu za mayai jumla na rejareja

    dar naweza kupata?
  10. georgemsengi

    KUKU WA NYAMA WANAUZWA

    mkuu naomba tuwasiliane nahitaji mayai kutoka iringa, nadhani tunaweza fanya biashara maana uko huko. 0788812958
  11. georgemsengi

    Mtu wa kusupply mayai anahitajika

    mkuu nitafute tufanye biashara. 0788812958 nipe na mawasiliano yako
  12. georgemsengi

    Mtu wa kusupply mayai anahitajika

    naomba msaada kama yupo mwenye uwezo wa kuni supply trei 300-600 kwa wiki . bei ya trei nanunua 6000 ila uwe na uhakika wa mayai kupatikana mwaka mzima 0788812958
Back
Top Bottom