Nauza mayai trei 7000

georgemsengi

Member
Sep 1, 2014
42
8
Pata mayai ya kizungu, ukichukua trei kuanzia 10 nauza 7000, nipo kinondoni. karibuni kwa oda mayai yapo.
 
Haya mayai yenu ya kissasa sijui mnaita ni shida.. juzi ninenunua mayai ndani meupe hadi kiini ni cheupe.. nimeogopa nimeyatupa
pata mayai ya kizungu, ukichukua trei kuanzia 10 nauza 7000, nipo kinondoni. karibuni kwa oda mayai yapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom