KUKU WA NYAMA WANAUZWA

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,246
1,643
Wauzaji wa kuku wa nyama kwa bei nzuri rejareja na jumla jumla
Mahali Iringa
Eneo kihesa
Ukitaka niambie tufanye biashara
 
Eh haya matangazo yenu ya biashara bana. . Sasa bei nzuri ndio nini? Hao kuku uzito wastani kilo ngapi kwa mmoja?
 
Bei ni elfu 7 mia tano (7500/=)kama unachukua wengi sana punguzo lipo pia
 
Kuapload kunazngua EB nielekezeni maana naweka bado inaniambia you cannot post empty post
 
Back
Top Bottom