Recent content by george pk

  1. george pk

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Mwananyamala aliyepotea, akutwa ameuwawa

    Tell us more... please!
  2. george pk

    JamiiForums Tanzania Dereva wa SATCO aoneshewa bastola, abiria wamnusuru "walitaka kumchukua"

    Nimeoshuhudia hii ... masaa machache yaliyopita... isingekuwa raia mwamba walikuwa wanaondoka nae, baada ya kuona mambo ysmekuwa magumu, akamuita mwenzake akachomoka ....🤔🤔🤔
  3. george pk

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mabosi wengi kudate na wafanyakazi ni mbinu ya kikachero

    Sio hivyo tu, nadhani unazifahamu tabia za waarabu.....
  4. george pk

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mabosi wengi kudate na wafanyakazi ni mbinu ya kikachero

    Hakikaaa, alafu boss mwenyewe alikuwa "mwarabu"
  5. george pk

    JamiiForums Tanzania Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Dakika ya 44 kipindi cha kwanza , tunacheza pungufu...😆😆😆😆
  6. george pk

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mabosi wengi kudate na wafanyakazi ni mbinu ya kikachero

    Kuna kampuni moja niliwahi kutana na hii kitu, na haikudumu
  7. george pk

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaonekana kufikia hatua ya kukata tamaa na kujiua? jamii imeshindwa kuona ishara?

    Cha kushangaza zaidi hadi watoto wadogo wa sekondari...
  8. george pk

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili changamoto kwenye kupata passport

    Hapo lazima ufike Tabora mjini...
  9. george pk

    JamiiForums Tanzania Stop doing 10 things in your life time

    Hahaha
  10. george pk

    JamiiForums Tanzania Bundi na mchawi

    Wadau wa JF bila shaka mko salama, Naomba kufahamu mwenye kuelewa., kuna uhusiano gani kati ya BUNDI na MCHAWI kama watu wengi wanavyodai? Na watu wengine poa husema FISI nae wakati mwingine hutumiwa na wachawi. Naomba mwenye uelewa apate kunipa Elimu juu ya hili..
  11. george pk

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Naomba link mkuu...nipate hiyo story ya Insider
  12. george pk

    JamiiForums Tanzania Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

    Daaaah.... ukajinasuaje? Na alitaka kukuua kwa njia ipi?
  13. george pk

    JamiiForums Tanzania Nilimaliza siku nne bila kula chochote, Nilikuwa naona kifo hiki hapa

    [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38]
  14. george pk

    JamiiForums Tanzania Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

    Duuuh....hichi kisa kinanihusu kabisa... ila mi sikufanikisha kama wewe mkuu... Mimi nilifanya na Wakenya , tena ni mwaka jana tu miezi ya mwishoni... tulikorofishana sana , mimi ilikuwa issue ya malipo... daaaah... Pole na hongera sana mkuu...
Back
Top Bottom