Bundi na mchawi

george pk

Senior Member
Jun 15, 2020
123
164
Wadau wa JF bila shaka mko salama, Naomba kufahamu mwenye kuelewa., kuna uhusiano gani kati ya BUNDI na MCHAWI kama watu wengi wanavyodai?

Na watu wengine poa husema FISI nae wakati mwingine hutumiwa na wachawi.

Naomba mwenye uelewa apate kunipa Elimu juu ya hili..
 
Kuna mmoja alikua analia juu ya bati la nyumba yangu kwa vipindi tofauti tofauti na muda ni ulele ule saa kumi na moja asubui...nikawa natoka namwangalia na yy ananiangalia...namwambia kama umepumzika hapo ww pumzika tuu then uendelee na sfr yako...alishalia kama mara tatu hivi...kwa kupishana miezi....ila nimeona baraka zimeongezeka kwny nyumba yetu 😆 😆 😆 😆 😆 toka mara ya mwisho alie imepita miezi 6....
 
Back
Top Bottom