Recent content by george ndamanya

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kisa Rais Magufuli Kufuta Sherehe za Uhuru Bavicha Wawataka Wananchi Kwenda Magerezani

    Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Makao makuu ya Chadema, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi ametoa rai kwa wananchi kuitumia siku ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, Desemba 9, 2018 kuwatembelea wafungwa walioko katika magereza mbalimbali huku akipinga agizo la...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

    Awali ya yote, nipende kuipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa usikivu wake na kuchukua hatua stahiki kuhusiana na sakata la mimea na mbegu Zilizobadilishwa Vinasaba (GMO) nchini. Kama mtafiti wa Uhuru wa Chakula, napenda kuihakikishia Serikali kuwa, wadau mbalimbali wakiwemo wakulima, walaji...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Dkt. Shein aipongeza China kwa kusaidia maendeleo Zanzibar

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi ya maendeleo sambamba na kukuza uhusiano uliopo. Dk. Shein amesema hayo alipokuwa na mazungumzo na Makamu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania CNN: Tanzania loses $300m World Bank loan amid crackdown concerns

    Nafikiri wengi labda hamuelewi World Bank ni nini, ni Benki kama vile tu CRDB ilivyo ni Benki na in Wamiliki. Pia labda hamuelewi jinsi mfumo wa Brettton woods unavyofanya kazi, Benki ya Dunia haiwezi kuinyima TZ mkopo hata siku moja kwanza ni kinyume chake ni lazima Tanzania ichukue huo mkopo...
  5. G

    JamiiForums Tanzania BusinessLine: Decline in global cashew prices affects processors

    Jarida la HinduBusinessLine toleo la Machi mwaka huu limesheheni ukweli huu na sababu za kuanguka bei za korosho mwaka huu likitabiri mwishoni mwa mwaka zitaanza kupanda. Kuanguka huko kwa bei pia kuliathiri uzalishaji wa korosho ambapo ni benki chache huko India na Vietnam zilikuwa tayari...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tusiwaamini wanasiasa hawa

    rais anatafuta njia ya kuwasaidia wakulima wa korosho, hao wafanyabiashara wanyonyaji hawana nia njema kwa wakulima wa korosho wa tanzania
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wanaharakati wa kulinda wanahabari (CPJ) wakamatwa na kuhojiwa, waachiwa!

    kabla ya kuconclude, inabidi tujiulize maswali kwanini walikamatwa hao waandishi?au labda kosa walifanya kikapeleka kukamatwa kwao.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Magereza lafanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi

    Katika kuboresha utendaji kazi ndani ya Jeshi la Magereza Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Martin Kasike amefanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi kwa kuwateua Wakuu wa Magereza wa Mikoa Tanzania Bara(RPOs) 19 wapya na saba (7) kuwabakiza katika nyadhifa zao. Katika mabadiliko...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ni mwanasheria asiyezifahamu sheria

    @THOMASS SANKARA kama unaona huo ni ujinga basi sawa lakini ujumbe umefika
  10. G

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ni mwanasheria asiyezifahamu sheria

    FATMA KARUME NI MWANASHERIA ASIYE ZIFAHAMU SHERIA. SAKATA LA USHOGA LIMEWASAIDI WATANZANIA KUFAHAMU UWEZO WA KISHERIA WA FATMA KARUME. . Nimesoma maandiko kadhaa ya mwanasheria Fatma Karume, Kwa wale wasiomfahamu vizuri Fatma Karume ni mjukuu wa muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibari, Fatma ni...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Kikao cha kwanza Bunge la 13 mwaka 2018

    Mkutano wa 13 wa Bunge umeanza leo Jumanne, Novemba 6, 2018, huku wabunge wanne wawakiapishwa na Spika Job Ndugai, ambao wote ni wa Chama Cha Mapinduzi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

    hujui unenalo,mungu akusamehe
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Global TV na bongomikasa TV ni mtu mmoja??

    1) Hivi global TV na bongomikasa TV ni za nani? 2)Hivi faida (profits) za kuendesha TV kwenye mtandao iko je????? 3)Nikitaka kufungua yangu taratibu ziko vipi?????? 4)Nitafurahi nikipata namba za simu za mmoja wao ili wanisaidie.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Hivi hii ni akaunti gani ya "zitto kabwe" mbona sijawahi kuiona post hii..... Nadhani mojawapo ya akaunti feki za zitto kabwe maana yeye mwenyew kashangaa kuhusu kuwepo kwa akaunti hii... Jamani tufanye kazi tuache maneno maneno haya na vitu vya kutungatunga visio na mantiki kwa maendeleo ya...
Back
Top Bottom