Recent content by George Kiddy

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Umepata sup au umedisco?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mpinzani Mpya wa Mwigulu apatikana

    Ndugu zangu, mapema leo asubuhi mmeona post ya BAVICHA-IRAMBA ikisema kuwa nimetangaza rasmi kugombea UBUNGE katika jimbo la Iramba-Magharibi. Hilo haliwezi kuwa tangazo langu rasmi kwa sababu zifuatazo:- 1. Mgombea wa nafasi kubwa na nyeti kama hiyo hawezi kusemewa na yeyote ila yeye...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kilichoandikwa mapema leo kunihusu

    Ndugu zangu, mapema leo asubuhi mmeona post ya BAVICHA-IRAMBA ikisema kuwa nimetangaza rasmi kugombea UBUNGE katika jimbo la Iramba-Magharibi. Hilo haliwezi kuwa tangazo langu rasmi kwa sababu zifuatazo:- 1. Mgombea wa nafasi kubwa na nyeti kama hiyo hawezi kusemewa na yeyote ila yeye...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

    profesa ni mpuuzi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mc jurisdiction

    anyone pls help, what is the pecuniary jurisdiction of a resident/ district Magistrate court as far as commercial case is concerned?
  6. G

    JamiiForums Tanzania UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    umenena vema sana Kandidus, Ruta bila shaka yoyote amejipambanua kuwa yupo bias katika hili msakata, kusema kwamba kufanya mapenzi na binti mwenye miaka 17 ni kubaka afanye research tena kabla hajaleta mada yake JF. aelewe pia kuwa ni miaka 14 and below ndio inamfanya any person with the age of...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa JF mnasemaje kuhusu Hukumu ya Lema?

    That is illegal campaign, sec 108 a, na adhabu ni kumvua mtu ubunge lakini sio kumwondolea haki ya kushiriki uchaguzi mdogo.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Namhusudu sana MBOWE!!

    kweli ni kiongozi mzuri aendelee hivyo, ila demokrasia ndani ya chama iendelee na viongozi waendelee kuchaguliwa kila baada ya muda kama katiba ya chama inavyosema. wagombea wajitokeze wakati wa uchaguzi na wachaguliwe kuliko kuanza kujinadi miaka mingi kabla, hii inawafanya waache kushughulikia...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Insights muhimu kuhusu mgomo wa madaktari leo 7/03/2012

    serikali kiziwi
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

    amen. where the pics are? i really wanna see them.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

    huyo sio raia wa igunga ila dar, soma vizuri Gwallo. anatambulika kama wakala kwani ndio kazi iliyomtoa dar kwenda igunga. tungoje ripoti ya polisi ila taarifa za kijasusi ni kwamba marehemu aliuawa tena kwa risasi. sasa ngoja vyombo vya dola vidanganye.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa waziwazi

    Prof. Baregu alinyimwa kazi udsm kisa kujipambanua kuwa ni kiongozi mwandamizi wa CHADEMA. lakini cha ajabu kuna wenyeviti CCM na madiwani wa CCM ni wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma. binafsi naumia sana na ufedhuli huu.
Back
Top Bottom