Mkanganyiko wa waziwazi

George Kiddy

Member
Jan 17, 2011
12
7
Prof. Baregu alinyimwa kazi udsm kisa kujipambanua kuwa ni kiongozi mwandamizi wa CHADEMA. lakini cha ajabu kuna wenyeviti CCM na madiwani wa CCM ni wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma. binafsi naumia sana na ufedhuli huu.
 
Toa mfano wa ki/viongozi wa ccm w/aliye kwenye vyuo vya umma vinginevyo huu utakuwa udaku
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom