Recent content by George J Minja

  1. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Lenjen Group of Companies

    Bado valid tuma Cv na vyeti kwenye email tajwa hapo juu tuko Mbezi Beach SAMAKI WABICHI House opp SHAMO Tower
  2. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Lenjen Group of Companies

    TANGAZO LA KAZI LENJEN tuna nafasi za kazi zifuatazo.... 1.SALES COORDINATOR 4 2.SALES REPRESENTATIVE'S 10 3.SENIOR ACCOUNTANT 2 4. ACCOUNTANT'S 5 5.IT 5 6.HR 3 7.OPERATION MANAGER 2 8.DRIVER COORDINATOR 2 9.DRIVERS 15 10.DISPATCHERS 10 11.PARKING COORDINATORS 15 12.MERCHANICS 7 13.WASHING...
  3. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Rappers bora wa muda wote nchini Tanzania

    Joh makin kala jeremia
  4. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Yanga yamsimamisha Niyonzima kwa utovu wa nidhamu!

    mimi wa mchangani hao yeboyebo hawanihusu
  5. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Yanga yamsimamisha Niyonzima kwa utovu wa nidhamu!

    ndio nani huyo?
  6. George J Minja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi hakuna lakini ameniganda kama ruba

    unatembea na nyota yake ndio maana anakungangania,tafuta kanisa la kiroho uombewe
  7. George J Minja

    JamiiForums Tanzania G. Kabaka: Wabunge wawili wa upinzani wamekuwa wakichochea mgomo wa madereva nchini

    Akili Ndogo sana wewe utapata shida sana kwa kutumia level hii ya kufikiri
  8. George J Minja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Ukiona au kusikia mwanamke anasaka dume lenye 45 yrs ujue msakaji nagonga fifty.Bibi saka babu kimya kimya sio lazima uje hapa.
  9. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe atimiza ahadi kwa kumwaga mapesa

    Hata MC anazitolea macho chek na huyo mama pembeni ya MC naye anaimba ila macho kwenye Pesa
  10. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 97 ya Katiba Inayopendekezwa inawachefua UKAWA

    haya nakaa mbali endelea kubwabwaja kisiruanimbalizakariamentalistik wewe.
  11. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Kugombea ubunge Zanzibar kwa tiketi ya CHADEMA

    Shikamoo mjibu mada umemaliza kila kitu
  12. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 97 ya Katiba Inayopendekezwa inawachefua UKAWA

    usiruhusu mikono yako iandike ----- hapa kabla kichwa chako hakijafikiria vizuri,nionyeshe lugha chafu na matusi niliyotumia hapo kabla sijaanza kukutukana kiukweli maana inaonekana una hamu ya kutukanwa '';/[
  13. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 97 ya Katiba Inayopendekezwa inawachefua UKAWA

    unajua matusi wewe? angalia kwenye majibu yangu halafu nionyeshe matusi niliyotukana
  14. George J Minja

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu itikadi ya Ujamaa wa Kidemokrasia kwa mujibu wa ACT-Wazalendo

    Profesa na siasa za ACT,Profesa msaliti,Profesa anafukuzwa CHADEMA ,Profesa anatoa somo la Uzalendo,haya Profesa tuambie utagombea ubunge jimbo gani Kigoma maana mmetangaza ndio ngome yenu,halafu kuna wakati nilisoma mmefukuzwa ACT Profesa na yule mwenzio mlioandaa ule waraka wa kumngoa KAMANDA...
Back
Top Bottom