kitongakipikiqum
Member
- Apr 19, 2015
- 38
- 9
Wewe ndiyo unaota uku unatembea na ujuwi ulia wala kushoto, wakumtoa mwakyembe kyela bado ajazaliwa wala chama akijaundwa, naona una upeo mdogo wa kufiri.
Hata MC anazitolea macho chek na huyo mama pembeni ya MC naye anaimba ila macho kwenye PesaNimependa tu kila mmoja ananyoosha mkono wa salam lkn machoyapo kwenye bulunguti.
Hawa wabunge wa CCM ni majanga makubwa.
Ebu angalieni hapa Mwakyembe mbunge wa Kyela katuma wasaidizi kwenda kwenye kijij kimoja Kyela na kuwapa pesa eti anatimiza ahadi zake za kufufua maji.Pembeni mwenyekiti wa CCM wa wilaya anashuhudia na kushangilia.
Kama kuna tatizo la maji kwanii asiweke mafundi na badala yake anatoa pesa cash? Ukawa, hili jimbo tulichukue halina mtu.
Kwa mwendo huu kweli jimbo halina mtu. Hii ni hongo ya mchana kweupe. Hivi kweli wananchi wanataka cash kutoka kwa mbunge? Ndiyo maana bila shaka kunakuwapo na mabehewa chakavu.
Acha umburula wewe hy hela ni kwa ajili ya kutatua matizo ya ufundi,mafundi tayari wapo,mie nilikuwepo hapo wakati eanakabidhi,mtoa post umeandika kishabiki sn Mwakyembe hamumuwezi nyie ukawa
Acha umburula wewe hy hela ni kwa ajili ya kutatua matizo ya ufundi,mafundi tayari wapo,mie nilikuwepo hapo wakati eanakabidhi,mtoa post umeandika kishabiki sn Mwakyembe hamumuwezi nyie ukawa
Vipo kata gani hivyo vijiji mkuu
Nyie ukawa mnamatatizo ya kufikiriKwa mwendo huu kweli jimbo halina mtu. Hii ni hongo ya mchana kweupe. Hivi kweli wananchi wanataka cash kutoka kwa mbunge? Ndiyo maana bila shaka kunakuwapo na mabehewa chakavu.
Kitukuu, hawa jamaa wanaojiita ukawa wanamatatizo makubwa katika fikra zao.Kama mchakato mzima wa ujenzi wa visima ulishapatika na kiasi cha pesa kinacho itajika kinajulikana,mlitaka mwakyembe apeleke makaratasi badala ya pesa.kufikiri mnaweza kushindana na mwakyembe kwa hoja za kitoto namna hii ni upuuzi kuliko upuuzi wenyewe
nimekudharau sana mkuu ! kwanini asitoke wakati ameshindwa uongozi ? njaa itakumaliza mjomba ; ni hivi mwakyembe ndiye mbunge wa mwisho kuwakilisha ccm kyela , chukua hiyo kama ulikuwa hujui , tumechoks na kipindupindu na kichocho , kangi tukatele fijo , tukuti ndaga abandu bha UKAWA abha kyala abhatwele ukutupoka twe bhalondo .Wewe ndiyo unaota uku unatembea na ujuwi ulia wala kushoto, wakumtoa mwakyembe kyela bado ajazaliwa wala chama akijaundwa, naona una upeo mdogo wa kufiri.
mwakyembe tutamshinda kiurahisi kuliko unavyodhani , hivi tangu awe mbunge amefanya nini kyela cha kupigiwa mfano ? zaidi ya kunywa supu SATIVA HOTEL , Uoga ni aibu sana ! wiki moja cdm baada ya kuchukua mji mdogo wamefufua visima 6 ! sasa usichoamini wewe ni nini ? kwa mfano kata ya ikimba ni kipi alichofanya Diwani Haleluya ? ccm ni wepesi kuliko pamba ! tutawapiga vibaya sana , subiri uone .Kama mchakato mzima wa ujenzi wa visima ulishapatika na kiasi cha pesa kinacho itajika kinajulikana,mlitaka mwakyembe apeleke makaratasi badala ya pesa.kufikiri mnaweza kushindana na mwakyembe kwa hoja za kitoto namna hii ni upuuzi kuliko upuuzi wenyewe
Wana Kyela wana bahati sana
Mmmmh!!!!!! alinamatingo mmundu ujhu, jwani ukumlonda kukyela, kangi amyekye.
Wewe ndiyo unaota uku unatembea na ujuwi ulia wala kushoto, wakumtoa mwakyembe kyela bado ajazaliwa wala chama akijaundwa, naona una upeo mdogo wa kufiri.