Duh hiyo age unayotaka mbona balaa 45years!!!
me sina miaka hiyo ila kama natamani mxigo
Acha kumtania mwenzio kwa hiyo huyo asprin ndio anamiaka 45?
Natafuta Mume wwema. awe mtu anayempenda Mungu, miaka 45, awe msomi kiasi na awe mkatoliki
Mmmm45 Shosti una moyo wewe, 45 mambo Ya kuchukuana na moov katikati ya show msulii umekamata Haya Lakini Una sababu zako .....