Recent content by George Charles007

  1. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Siku zinavyozidi kwenda nazidi kuutilia Shaka uwepo wa Mungu

    Na u;mbaji nani kauweka ?!
  2. George Charles007

    JamiiForums Tanzania EWURA wekeni msisitizo ujenzi wa vituo vya gesi badala ya mafuta

    Oya hilo ni jambo la muhimu sana boss gesi tunataka vituo vichache sasa tupoteze muda barabarani tupoteze muda kwenye foleni za kujazia gesi
  3. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Economists gather here

    Kuna tafauti kati ya nominal gdp na real gdp Thamani ya hela yetu inategemea vitu kama exports zetu, demand ya TSHS, interest rate zetu, nakadhalika.
  4. George Charles007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

    Kuna watu wanatoa figo kwa watu ambao hawana uhusiano nao wowote!
  5. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Fanya catering ya chakula meneja weka watu waliosoma kaa home usubiri orders na maokoto
  6. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Jamaa uliyenipiga na Chupa ya sere nikiwa natembea service road huku ukiwa kwenye pikipiki Kusudio lako lilikua nini? Ulitaka kuniua nimekukosea nini?

    Asa siinategemea kama mtu ndo anatoka job anaenda nyumbani. Ni hivii watu wengi ni wagonjwa wa akili.
  7. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Jamaa uliyenipiga na Chupa ya sere nikiwa natembea service road huku ukiwa kwenye pikipiki Kusudio lako lilikua nini? Ulitaka kuniua nimekukosea nini?

    Baba pole sana! Katika maisha yako hujawai ng'ata mke wa mtu, milima haikutani ila watu wanakutana.
  8. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Soon Putin anakamatwa tu. Kama Ukraine wameweza kuingia Urusi na kuteka watu basi Putin atakuwa mikononi soon

    Zelenski anaongopa, Mrusi hawamuwezi we ngoja uone
  9. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui, Dola ya Kimarekani imeandikwa “In God we Trust”

    Nanakuu biblia: Yak 2:19 SUV BHNSUVNenoSRUV Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.
  10. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Kwanini maisha ya Ulaya yana stress pressure fatigue kuliko mtu anayeishi Tanzania?

    Yana pressure kwa vp? Kama we ni mtu mweusi kule hiyo kweli utapata pressure ya racism. Structural racism yaani hata kama umesoma kazi zipo huajiriwi labda uwe kipanga mno. Kuna ubaguzi wa kwenye mahospitali. Hivyo vitu kwetu hakuna. Ila kwa mzungu pressure anayo lakini sio kama ya mtu mweusi...
  11. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

    Kwa sababu hukai huko ukitaka umbea wa hivyo soma sayansi na astrology
  12. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Tafuta mwanasheria mwenye experience ambae anaweza kusaidia na utamlipa baada ya kesi kuisha mi nnae wa aina hiyo.
  13. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaosafiri wana raha sana kuliko shopping

    Kama mtu anafanya shopping dubai au china iyo ni double benefit
Back
Top Bottom