Recent content by GeONJC

  1. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ujenzi

    Jenga room 3 kwanza, room sita hautomaliza
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

    Prof yuko vizuri, Aliwai kunipa ushauri nilikuwa na tatizo la vipere, kuwa nipunguze stress, na pia muda mwingi baada ya kazi niutumie kuangalia vitu vinavyonipa furaha..na kweli baada ya kufanya hivyo niko vizuri
  3. G

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Jaribu kutembelea pale LAPF House mazingira yanayozunguka naona kuna udhaifu wa migahawa pale so unaweza ukaja na ubunifu wako mkuu
  4. G

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya Gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu 3

    Mkuu kwa hesabu hizi si ni kama anajenga darasa kwa hiyo akipiga hiyo hesabu anapata idadi ya tofali za kumaliza darasa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Kuwarahisishia wataalamu mngekuwa mnaweka floor plan hata makadirio anaweza kupiga kwa urahisi...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

    Mkuu msaada, je hiyo movie inaitwaje?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani nzuri ya kufanya kwa mtaji wa milioni 15?

    Dah kumbe vitu vinawezekana 5.3 mpaka kwenye lenta??
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Muda si mrefu watu wa jkt wata unsubscribe huzi huu..wakapambane na life
  9. G

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

    MziziMkavu na tupatie pia elimu, mbinu, tiba etc.. ya kutungisha mtoto wa kiume....maana wengine tumetandika watoto wa kike wanne mfululizo.....
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Hi Nyandeke, nimekutumia meseji inbox kwako.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Ahsante mkuu kwa majibu yako, nakutakia mapambano mema zaidi, ni mdau wako ktk hili jukwaa lako kila siku lazima nipite ktk hili jukwaa.. Soon takutafuta kwa ushauri zaidi..naomba kama hautojari uni pm mawasiliano yako..
  12. G

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Kilimomaarifa.tajiri Unaweza pia kuwa unatupa update ya bei za "pilipili mbuzi" au wengine wanaita "pilipili uganda" katika masoko mbalimbali hapa nchini..
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kupanda Miti ekari 50 au kuwekeza kwenye hisa?

    Itategemea na haina ya miti na location unapofanyia project ya miti, pia usiweke matarajio ya ndani ya miaka 3 kuwa imakulipa, pia kuna cost za kila mwaka katika kuhudumia hiyo miti mpaka wakati wa kuvuna...let say kama miti ya miaka 10_ 15yrs hapo jua una miaka hiyo ya kuhudumia miti yako...
Back
Top Bottom