Recent content by geoge

  1. geoge

    Tanzania hakuna hospitali yenye wagonjwa wanaohuzunisha zaidi ya OCEAN ROAD.

    Kiukweli mm cna ujasiri huo nikimuona mgojwa anavyo teseka cwezi pata usingizi
  2. geoge

    Msaada gari langu linanisumbua

    Au njoo pm nikusaidie
  3. geoge

    Msaada gari langu linanisumbua

    Pole ndugu yangu hiyo gari naifahmu vizuri sana maana nimeitumia zaid ya miaka8 nimeiuza majuzi tu kwanza angalia semost kama iko vuzuri maana ikifa lazima gari kitachemsha tu cha pili angalia rejeta kama imeziba maana ikiziba gari itachemsha pia cha 3 tafuta fundi mzuri wa engine afungue tena...
  4. geoge

    Afya ya mwanangu inateteleka kisa mke wangu maziwa yanatoka kwa shida!

    Nenda bucher lolote wambie wakupe mifupa ambayo haina nyama kabisa chemsha vizuri anywe hiyo supa utaniambia maziwa yatatoka mpka aone kero
  5. geoge

    Nimesoma Mkataba wa Wachina Bandari ya Bagamoyo, Tuna Viongozi wa Ajabu haijapata kutokea ! Tumshukuru Mungu kwa Hili

    Makings mkono ila hapo kwenye kuongezewa muda ndio umenichafua
  6. geoge

    Mashoga mmenizimisha leo

    Yuko arusha
  7. geoge

    Mashoga mmenizimisha leo

    Mara nyingi anabadisha maana ni dalali pia kwahiyo akipata mteja tu anamuuzia ila ukimuulizia kwa wauza cm yuzid wanamjua sana
  8. geoge

    Mashoga mmenizimisha leo

    Batee anajifanyaga kama muuza cm lakini kwenye gari yake utamkuta yuko na vijana kumbe anawafundisha mambo ya kishoga kwa wenyeji wa arusha wanamfaham
  9. geoge

    Mashoga mmenizimisha leo

    Kwa arusha hilo tatizo ni kubwa sana kuna jamaa mmoja anaitwa Batee ndio anaongoza kwa kuharibu vijana wadogo ni watu wanao mzunguka wanajua lakini wakitoa ripoti police ni kazi bure maana jamaa anajuana na police
  10. geoge

    Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

    Lazima mjue kulea tunashirikia sote ww toa tarifa kwenye serekali ya mtaa watamfuatia wenyewe
  11. geoge

    Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

    Ukimlinda mtoto wa mtu mwingine unatengeneza mazingira ya wa kwako kulindwa pia
  12. geoge

    Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

    Kwani kwenye mtaa unao ishi hakuna balozi au kwann kama kweli ww ni muungwana hujatoa ripoti police?
  13. geoge

    Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

    Mwalimu mollel ndio alie nitoa ujinga Mungu ambariki sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. geoge

    Plot4Sale Nauza shamba ekari 20 kwa milioni 4

    mitumie no zako
Back
Top Bottom