Recent content by Geofre Maseta

  1. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yarejea tena, huu hapa ni Mkutano wa CHADEMA Moshi Mjini

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  2. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA yamekosa umuhimu, mvuto na ushawishi

    Kwa upimbi huu ndo unadhani utapewa buku 7 kama wenzio??? Thubutuuuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeandika kama ndo unatokea kuzimu
  3. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni mwenyekiti pekee wa Upinzani mwenye Mafanikio ya Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii!

    Siku zote mtaji kumbwa wa ccm ni watu wajinga na wapumbavu kama ww, unadhani ruzuku itumika tu bila kujua inaelekea wp na kwa matumizi yepi?? Rudi nenda kasome kanuni za matumizi ya hela ruzuku alafu urudi hapa ndo uje kuchangia mada ukiwa na ufahamu wa nn unachangia
  4. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni mwenyekiti pekee wa Upinzani mwenye Mafanikio ya Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii!

    Mbowe ni jabari la siasa za nchi hii na Africa kwa ujumla, ameyapitia mengi mnoo na yote ameyavuka akiwa salama na chama chake...
  5. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Kwahiyo Lawama zako unazipeleka kwa Mbowe? Kwamba angekaa kimya eeeeh
  6. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Iringa hapatoshi, Mchuano wa Wagombea wa Uongozi wa CHADEMA unatisha

    Fomu ya mwenyekiti ccm kwnn huwa mnatoa moja tu???
  7. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Tunawashauri nini Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA baada ya CCM kushinda Viti vyote vya Udiwani jana?

    Act wazalendo na ccm ni ndugu moya, hivyo wanandugu wakipigana sisi chadema hatuwezi kuingilia ugomvi wao kwn Act wazalendo kupitia kiongozi wao Zitto zubery kabwe wao katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio kipaumbele chao, wao kipaumbele chao ni kushinda chaguzi kupitia katiba hii hii na tume...
  8. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo walikuwa viongozi vinara kwenye utawala wa Awamu ya Tano

    Ongeza na musiba
  9. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa CHADEMA, Tumaini Makene mbona hasikiki muda mrefu kama msemaji? Yuko wapi?

    Sio kweli bhana, msemaji wa chadema ni John Mrema kwa ridhaa ya mkiti Taifa
  10. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    Zawadi inayomstahiri ni kuolewa na makamanda wapambanaji wa chadema...mwambie namhitaji huku chunya mbeya anisaidie kupanga mipango ya kuiendesha biashara yng ya dhahabu [emoji28][emoji28]
  11. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    No, na ndo maana mother alimuondoa faster Bashiru ikulu, Bashiru na ndugai kuna jambo walitaka kupindisha ila aliyewatibulia ni mabeyo...
  12. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Gen Mabeyo alikuwa anajua nani anapaswa atangaze kifo cha magufuri ila nadhani aliwashirikisha baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwapima uelewa wao na ndo maana akatoa amri ya atakayetangaza kifo cha magufuri ni Bibi tozo na mjadara ukaishia hapo
  13. Geofre Maseta

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa polisi walikuwa wanazuia Ole Shangay kusimikwa kuwa Laingwanan, kuna kitu gani kimefanya wazuie?

    Ukilalwa ukiamshwa ni ww na mbowe tu, kwn huyo anayekukula hakutoshelezi??
Back
Top Bottom