Wakuu samahani msaada, mwenye uelewa kuhusu hii course ya MEDICAL PHYSICS.. kwasasa naiona inatolewa UDSM kwa level ya master
Hivi mtu ukisoma master unaweza tambulika na serikali hii bila kua na Degree yake...maana nimeona hata kama una bachelor ya physics unaruhusiwa kuisoma
Je, ina impact...
Naombeni ushauri ndugu,ni coz ipi ya maji nzuri ambayo nikimaliza chuo nikafanya recategolization naweza pata ahueni ya maisha..
Wale wa kafanye biashara pliz sitaki...coz now nataka kusoma tu kwanza
Wataalamu wenye uelewa wa kozi ya Medical Physics (ngazi ya Master's), hasa kuhusu udahili, fursa zilizopo na ajira, tafadhali ashushe nondo za uzoefu na maarifa yenu.
Salaam watalaam
Kijana nimekuja kwenu kuomba msaada wa mawazo..
Nimeajiriwa sehem lakini sibanwi sana kazini kiasi kwamba nina muda mwingi wa ziada..
Natamani kufanya kazi yeyote ya part time ili niweze kuongeza kipato kwani hakinikidhi mahitaji
Swali, je nifanye SHUGHURI ipi aambayo...
Hivi kama aridhi ilipimwa kwa upimwaji shirikishi, then mtu akanunua kufuatilia kiwanja ulichonunua kimeingiliana na kiwanja cha mwingine(vyote vilipimwa kwa shirikishi)
Swali: inawezekana kukisajiri upya hicho kiwanja na nikapata hati yake? na kama ndio kipi kifanyike kwanza
Mm ni dereva boda nataka kupata kampuni ya kudeliver mizigo kwa wateja..
Napatikana mwanza sifa na vigezo vyote ninazo ikiwemo dhamana...kwani ni mtumishi japo cjabanwa sana kazini
Nauliza jamani ukitaka kuomba intake ya october kwa UDSM (Master Degree) inatakiwa uombe mwezi wa ngapi?
Ninaona kuna dirisha limefunguliwa saizi na mwisho wa kuomba ni mwishoni mwa mwezi huu.
Je, hakutakua na dirisha lingine kwa intake ya mwaka huu?
Habari za kazi wakuu,
Aisee kuna ndoto zimekuwa zikinirudia rudia, ninataka pata tafsiri zake kama kuna mwenye atakua na ujuzi huo.
Nimekua nikiota sana matukio ya nyuma, yaani ndoto zangu nyingi zinahusu watu wote ambao nilkua nao kipindi niko shule ya msingi au mwanzoni wa sekondari hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.