genius kipanga
Member
- Nov 30, 2022
- 27
- 18
Habari za kazi wakuu,
Aisee kuna ndoto zimekuwa zikinirudia rudia, ninataka pata tafsiri zake kama kuna mwenye atakua na ujuzi huo.
Nimekua nikiota sana matukio ya nyuma, yaani ndoto zangu nyingi zinahusu watu wote ambao nilkua nao kipindi niko shule ya msingi au mwanzoni wa sekondari hata kama walihamaga mda mrefu.
Naomba kuelewa maana yake sababu imekua vigumu kwa mimi kuota current issues kama watu wanaonizunguka sasa hivi n.k.
Wanasemaga ndoto ni vitu ulivyovifikiria sana mchana lakini unakuta mchana sijawaza kabisa hao watu lakini nikiota tu hao hapo.
Wengi wao ni familia yangu, majirani, tena mbaya zaidi wengine wamefariki au wameugua kias cha kwamba nina muda mrefu hatujawahi share nao experience pamoja.
Naomba kuwasilisha wakuu.