Recent content by genious wa kijiji

  1. G

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Natafuta kazi ya udereva nipo Dodoma. Udereva wa kirikuu kwa ajili ya hesabu ya siku.0621351560 Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  2. G

    JamiiForums Tanzania Dereva wa kirikuu anapatikana hapa

    Gm Kama mtu Ana Suzuki carry (kirikuu) na anahitaji dereva Basi nipo hapa. Ninaweza kuleta hesabu nzuri kwa siku kwa uaminifu mkubwa. Napatikana Dodoma. Hata kama Kuna mchongo mwingine wa kazi ya udereva naomba connection. Leseni yangu daraja D na Nina uzoefu na gari zote manual na automatic...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Haya maisha haya! Acheni tu

    Mrejesho. Baada ya kupost uzi huu Kuna watu walinifuata PM kwa Nia ya kunisaidia. Nichukue fursa hii kuwashukuru wote kwa moyo wenu na nimetambua kuwa duniani bado Kuna watu wema ambao wanaweza kukusaidia hata Kama hawakujui. Shukrani za kipekee zimwendee mkuu Ushimen ambaye alinitafuta na...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Haya maisha haya! Acheni tu

    Niwatoe wasiwasi Ushimen na wengine. Kuna baadhi ya vipengele sijaviweka wazi kwa sababu ya privacy. Alafu sometime hii simu Kuna ndugu huwa wanaitumia. Ndo maana ile post ya kufeli kidato Cha nne imeandikwa na binti (rejea uisome vizuri). Kama binadamu ukiona hivo lazima upate wasiwasi lkn...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Haya maisha haya! Acheni tu

    Mwaka juzi nilichaguliwa Chuo cha Mwenge kule Moshi lkn sikufanikiwa kwenda kutokana na hali ngumu ya kiuchumi. Sikuwa na hela hata kidogo na wakati huo ndo nilikua nimetoka form six. Home wazazi ni hohehahe wa kutupwa hawana mbele Wala nyuma. Sikupata mkopo hata ASILIMIA sifuri hivyo nikaamua...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada; Tecno k9 spark 2 inazingua kamera.

    Nikiingia app ya camera inaandika " cant connect to camera. Please close other applications which may use camera or flashlight" Nimejaribu alternative kadhaa 1 nimerestart simu 2. Setting>apps>camera>clear cache and clear data. 3 Holding power button for about 20-30s until powering off then...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa: Kodi ya chumba imeisha natakiwa kuhama na sina hela

    Post #47 mkuu. By the way siwezi kuacha kutuma jf hata kama nitalala nje kwenye mtaro bado nitakua hewani hasa kwenye jukwaa pendwa la biashara uchumi na ujasiriamali.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa: Kodi ya chumba imeisha natakiwa kuhama na sina hela

    Mkuu nashukuru sana. Nime-update hapo juu kuhusu nilipofikia. Nashukuru mkuu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa: Kodi ya chumba imeisha natakiwa kuhama na sina hela

    Am not genius. Am genious. Learn thw difference
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa: Kodi ya chumba imeisha natakiwa kuhama na sina hela

    Ahhahh kijijin nitarudi msimu wa kilimo nikapige hela tu ila sio sasa hivi
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa: Kodi ya chumba imeisha natakiwa kuhama na sina hela

    Hahah sio wazo baya lkn nafikiri hiyo ni hatua ya mwisho kabisa
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa: Kodi ya chumba imeisha natakiwa kuhama na sina hela

    Bora nikomae na jiji tu nitatoka muda ukifika. Kila mtu ana time zone yake. Yangu ikifika nitatoka tu
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa: Kodi ya chumba imeisha natakiwa kuhama na sina hela

    UPDATE mpangaji mpya ashahamia jioni ya leo. Mimi nimehamia kwa rafiki yangu mmoja hivi mpambanaji mwenzangu. Nitajishikiza hapa kwa siku kadhaa wakati natafuta hela za kupanga. Ndugu zangu maisha ni magumu. Nilichojifunza so far na ambacho ningependa asomaye hapa akielewe: 1. Ndugu zangu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuchanganyikiwa: Kodi ya chumba imeisha natakiwa kuhama na sina hela

    Kwamba me ni mzima au sio mzima sio kazi yako kujua. By the way nakukubali sana ulivyo na maarifa mengi
Back
Top Bottom