Dereva wa kirikuu anapatikana hapa

genious wa kijiji

Senior Member
May 1, 2014
173
248
Gm

Kama mtu Ana Suzuki carry (kirikuu) na anahitaji dereva Basi nipo hapa.

Ninaweza kuleta hesabu nzuri kwa siku kwa uaminifu mkubwa.

Napatikana Dodoma.

Hata kama Kuna mchongo mwingine wa kazi ya udereva naomba connection. Leseni yangu daraja D na Nina uzoefu na gari zote manual na automatic

Namba yangu ni 0621351560.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom