Recent content by Genge Yetu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Simba waporwa wachezaji na singida Black Stars

    Ni mchambuzi au mtoa taarifa? Mbona hakuna uchambuzi zaidi ni vichambo Kwa SSC!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Wakati timu zinajiaanda na Mechi round ya tano, Yanga walicheza back to back ndo wakakutana na CR Belouzdad. Wakati Simba wanaomba recovery kwa wachezaji wao, Yanga wao wajiona wanaweza kwenda na move ileile kucheza kila baada ya siku 3, Tena mechi ngumu. Ujuaji utawagharimu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wanachambua sana Yanga Sc vs Mamelodi Fc kuliko mchezo wa Simba sc vs Al Ahly

    Wachambuzi wa MCHONGO wanalipwa ili kuwafariji AYUBU FC. Vipi Kama wanalipwa kuwafariji Utopo FC!?? Maana hawawezi kukomalia mechi moja wakati wanajua ziko mbili. Ata hivyo, kibaya Cha jitembeza, Simba haina shobo na media.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kimeumana: Wazee wa Simba SC hawamtaki Mwina Kaduguda

    Huyo Kaduguda amekosa ulaji tu. Kwani wakati wake Kama kiongozi alikuwa akisajili wachezaji wa aina gani? Akae atulie.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri atatue changamoto yake ya kimahusiano

    1. Wakati anahitaji penzi la binti alimlazimisha, binti akakubali akampatia alichotaka. 2. Kwa sasa dogo amepata kazi, na Yuko mbali na binti. Binti anahitaji kuwa karibu na dogo, dogo ataki kuoa. Mwambie dogo atimize ahadi yake. Watajitafuta wote wakiishi pamoja.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

    Fikiria vizuri. Heri kuishi na mke wako anae kujali, kuliko kuishi na mke wa mtu unae mtamani. Utaumiza watoto wenu, jitafakari.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa lakanusha na kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za kuuawa kwa mfanyakazi wa ASAS kwa kipigo

    Samahani mtoa mada. 1. Unaweza kuweka taarifa ya polisi ili tuisome pia? 2. Kwanini wewe unapinga taarifa ya Mdude Nyagali? Kwani imekuwa tuhuma ya kwanza kwa jeshi letu au walinzi was usalama kuua ama kujeruhi raia wasio na hatia? 3. Marehemu alipatwa na tatizo la moyo baada ya kuwa amefungwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

    Basi Simba wana pesa sana, watafika mbali Sana!!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: najuta kwenda honeymoon - nilichofanyiwa sitakuja kusahau

    Jitahidi kuwa serious
  10. G

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania Twiga Stars Yafuzu WAFCON 2024 Morocco

    Nyota ya Rais Samia!!!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Aliyeona CHADEMA wakitoa misaada kwa wananchi wa Hanang kama walivyofanya CCM naomba aniwekee hapa picha au video yake

    Aiseee! Kwahiyo unataka kusema kwamba huko Manyara hakuna wanachama wa Chadema, ambao wameshiriki kutoa msaada Kama nilivyoandika? Ungesoma kwa umakini nafikiri usinge jibu namna hii.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Aliyeona CHADEMA wakitoa misaada kwa wananchi wa Hanang kama walivyofanya CCM naomba aniwekee hapa picha au video yake

    Ni kweli kuwa, hakuna chombo chochote Cha habari kilichotoa taarifa kuhusu Chadema Kama taasisi kutoa msaada wowote huko Katesh, Manyara. Lakini wanachama wake wameshiriki kutoa msaada wa Hali na Mali, tangu siku ya kwanza Hadi leo. Naamini kwamba, wanachama wa Chadema huko Katesh na...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

    Good job brother.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Daah kumbe mashemeji ndo walinikataa

    Pole sana! Mpe nafasi kwa mara nyingine tena.
Back
Top Bottom