Recent content by General Nguli

  1. General Nguli

    JamiiForums Tanzania KERO Ngerengere Morogoro Umeme una tendency ya kukatika kila siku

    Hapa pekee panatosha kufahamishana
  2. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wengine wameacha kabisa kwenda kuwatembelea ndugu

    Mimi hapa na trauma ya kutokwenda kwa Shangazi yangu kwa kipindi kirefu.Pia bila kujali hisia zamapitio huko nyuma basi huwa na hofu sana.Wakati mwingine najilaumu sanaa.Muda mwingine nawakumbuka sana.
  3. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Hapo ulipo ni mtu Gani Ana kuvutia kulingana na Mtazamo wako

    Binafsi huwa navutiwa na B Netanyahu Zele Boy Mess Traore Heche
  4. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Hapo ulipo ni mtu Gani Ana kuvutia kulingana na Mtazamo wako

    Wakuu habari za muda hii, Katika ulimwengu wa sasa, kuna watu wengi maarufu kwenye nyanja mbalimbali—iwe ni biashara, teknolojia, michezo, uongozi, au saikolojia ya maisha. Kila mtu huwa ana huyo mtu mmoja ambaye akiona habari zake, mahojiano yake, au vitabu vyake, lazima atulie na kusikiliza...
  5. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Zoteee
  6. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Akikupatia Nina 2k ya bando lako
  7. General Nguli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    I think they talking about some body else branding.😏
  8. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

    Asantee kaka
  9. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

    Nimekuwa na changamoto ya kutumia mtandao wa X kwenye Laptop yangu Ninatumia mtandao wa X zamani tweet kwa miaka kadhaa.Lakini imekuwa changamoto sana kwenye Laptop yangu Tangu matumizi ya VPN yaanze kutumika. Naomba kujua namna notakavyo Counter hili tatizo. Natanguliza shukrani
  10. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kozi ngumu kama Quantum physics, mechanics?

    Shida uchumi wa Science hapa Bongo ushakufa.Sasa mwenye Pesa. Ni yule mpiga Dili.Msomi anabaki njaa.Tofauti na nchi za wenzetu kwenye science ya Quantum physics.obviusly hakuna mtu anaweza dinda ikashindikana kama inalipa
  11. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Mi taratibu naanza kumuelewa GWAJIMA.
  12. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Ijue Ngerengere Air Base, ngome iliyofichwa milimani inayolinda anga la nchi yetu

    Jamani hicho Kijiji kwa kukatika Umeme usiseme
  13. General Nguli

    JamiiForums Tanzania KERO Ngerengere Morogoro Umeme una tendency ya kukatika kila siku

    Leo kiza kinaendelea Tena Tareh 19 Sep 26 umeme umekatika majira ya sanne Asubuhi mpaka usiku muda huu Sa mbili haujarudi...Naedelea Tena Kusema kwamba changamoto ya umeme inazidi kila kukicha...Maana umeme hukatika kila siku Tangu tupate Uhuru. Narudia Kusema changamoto hii ni kwa Kijiji Cha...
  14. General Nguli

    JamiiForums Tanzania KERO Ngerengere Morogoro Umeme una tendency ya kukatika kila siku

    Leo Tena umekatika umemem..hapa KIJIJINI KWETU.Kitu kinacho tushangaza ni kwamba Kanda zingine wanapo tarajia kukata UMEME huwa wanajulishwa kwa njia mbalimbali kupitia matangazo ya Sms kwenye simu na mitandao ya kijamii.. Tofauti kabisa na Kijiji Chetu Cha NGERNGER.Maana hukata na KUrudisha...
  15. General Nguli

    JamiiForums Tanzania KERO Ngerengere Morogoro Umeme una tendency ya kukatika kila siku

    Basi inakuweje umeme uwe unakatika kila siku miaka yote
Back
Top Bottom