Recent content by Genda

  1. G

    GE2010 Nitahutubia bila ya kufuata Muda uliowekwa Tume

    "It is 6:15pm now... in recent days I have decided to continue speaking until my wisdom directs me otherwise. Mr Kikwete has been giving speeches in his rallies until 7:30pm. We have written to NEC four times about this, yet he has not been warned, fined or disqualified as a candidate as the law...
  2. G

    Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma

    Slaa huwa anajidai eti Chadema hawakurupuki! Safari hii , pengine, si tu Slaa alikurupuka bali pia ameropoka! Katika mawasiliano ya internet, ni lazima tujihadhari sana na habari tunazopokea. Ubaya wa kupashana habri kwa nji hii ya kisasa ni kwamba hakuna cha mhariri wa kuweza kupima chanzo na...
  3. G

    Somo la Uraia: Kuwajua Viongozi Wetu wa ki-Siasa

    Somo la u-Raia: Katika Kuwajua Viongozi Wetu wa ki-Siasa. Ni nani mwenye data za CV za hawa wagombea-wenza (u-Rais) na vyama vyao katika mabano? Rashid Yusuph Mchenga (APPT-Maendeleo) Mzee Said Mzee (CHADEMA) Juma Haji Duni (CUF) Omari Juma Ali (NCCR-Mageuzi) Abdallah Othman Mgaza...
  4. G

    GE2010 Duh; nini kilitaka kumtokea JK kule Lindi Jukwaani?

    Subira, hujui kuwa hapa JF kila kitu cha Chadema ni kitakatifu?
  5. G

    Kumuita Kikwete Dr. sio "kuchakachua" usomi?

    Hii imekaaje: Dr. Jakaya Mrisho Kikwete! Period! The rest of you with contrary view, go hang! Ndio ukweli!
  6. G

    Kumuita Kikwete Dr. sio "kuchakachua" usomi?

    Rais wetu, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, ana "doctorates" mbili kutoka vyuo viwili tofauti! Fungua hiyo "attachment". Ni vyuo hivi vinavyoweza kutangua (to rescind) tuzo aliyopata.
  7. G

    Kumuita Kikwete Dr. sio "kuchakachua" usomi?

    JK, hakuna atakayekunyang'anya hiyo phd honoris causa yako isipokuwa Chuo Kikuu cha Kenyatta! Wengine watapiga kelel za bure!
  8. G

    GE2010 Mgombea ubunge jimbo la Musoma mjini anahaha

    Hii ya rangi nyekundu imekaaje, "unajua anaemchachafya huyo mng'ang'ania kiti hicho cha ubunge ni nani? ni MJUKUU WA NYERERE. wa CHADEMA."
  9. G

    Kumuita Kikwete Dr. sio "kuchakachua" usomi?

    Ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, penda msipende!
  10. G

    Je rais Kikwete na Dr Slaa ni yupi anafanana na Mwl. Nyerere?

    Wote wawili (Kikwete na Slaa) wanafanana na Nyerere: Wote ni binadamu! Wote ni wanaume! Wote wana watoto! Wote ni wa-Tanzania! Wote ni wanasiasa! Wote wanatongozwa na wadhifa wa u-Rais! What a question!
  11. G

    GE2010 Dr slaa ni sawa na obama

    Je, Slaa naye yatampata, kama yanayomsibu Obama, baada ya kuchaguliwa?
  12. G

    Kura nyingine za maoni hizi hapa

    Sikatai kuwa mlipiga kura na kusahau hayo ya mazishi! Lakini hiyo kura..external reliability yake ikoje? Je, tunaweza kuisambaza kwa Tanzania nzima na kutamati kuwa Slaa atashinda?
  13. G

    GE2010 Dr.Slaa Vs Jean-Bertrand Aristide(The prophet of deception)

    Hayo ya Dk Slaa na "nabii", pengine, yafuatayo yatafafanua (emphasis in italics is mine): Dk. Slaa hashikiki • WANACHAMA 48,000 wajitokeza kumdhamini Karatu na Kulwa Karedia, Manyara MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, amepata...
  14. G

    US Soldiers Captured by Afghan Fighters

    From BBC (online) just 30 mintes ago: Two US soldiers have been captured by Taliban insurgents in eastern Afghanistan, reports say. An Afghan official says the two men were seized in Logar province after an exchange of fire with the militants on Friday. A spokesman for the Nato-led force...
  15. G

    D.Cameron apakia treni kukwepa gharama!

    Wakati wa kubana matumizi: Wilaya na Mikoa mipya! Kujenga majumba ya serikali tena;! kukaribisha timu ya Brazil kwa dakika 90 na kulipa mamilioni! Na kadhalika kadhalika!
Back
Top Bottom