Recent content by genacide

  1. genacide

    JamiiForums Tanzania Warembo wa kiarabu wa Tabora

    Wabushiri au waburushi??
  2. genacide

    JamiiForums Tanzania Tujuzane tim zlizopanda/znapanda daraja kutoka daraja la,kwanza kwenda,vpl

    Kutoka la kwanza kwenda la pili ni coastal union na african sports
  3. genacide

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Wizara zilizohamia Rasmi Dodoma

    Usiwe lofa wewe wizara kibao zinahama,hata ya huyo kingwangwala soon itakua dodoma,utumishi wengine wameiashatangulia
  4. genacide

    JamiiForums Tanzania Maajabu! JANET ni Jina la mke wa Magufuli, Kagame na Museveni

    Hamkawii kusema ni filimasoni
  5. genacide

    JamiiForums Tanzania Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

    Mungu asaidie uwe mwanamke,kama ni mwanaume kunatatizo!
  6. genacide

    JamiiForums Tanzania Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

    Mshabiki wako ni nani!?na anashabikia nini toka kwako!?
  7. genacide

    JamiiForums Tanzania Rio Paul Afanya maajabu UN

    Amewolewa wuyu(kwa sauti ya bwakila)
  8. genacide

    JamiiForums Tanzania Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

    Baelezeee..na tulibeba kombe nyumbani kwa bayern
  9. genacide

    JamiiForums Tanzania Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

    Mtoa mada kichefuchefu.sema arsenal ndo team mbovu na haistahil tena kushiriki ucl,yenyewe na totenham.ni muda sasa wa chelsea,liver na man u kushiriki tena,hata zikifail si kwa humiliation ya 5_1 kama arsenal.
  10. genacide

    JamiiForums Tanzania Maalim nash aka Nash Mc

    Huyu bwana mdogo anajiona anajua sana hip hip,yaani anajiona kama vile kazaliwa new york.anatakiwa ajue hip hop ni utamaduni wa waafrika waliopelekwa america kipindi cha slave trade,so katika kuhaha huku na huku baada ya kupoteza identity zao wakajikuta wanagundua hip hop,so we mtu wa tanzania...
  11. genacide

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Wewe ni masikini na hauna akili.waache viongoz wafanye kazi yao
  12. genacide

    JamiiForums Tanzania Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    Wengi wanaanza kwa kuchanganyiwa kijanja
  13. genacide

    JamiiForums Tanzania Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    Haswaaa baada ya wadogo zetu kulishwa unga kama mbuzi
  14. genacide

    JamiiForums Tanzania Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    Kabisa,uza poda uone cha moto
Back
Top Bottom