Recent content by Gemini AI

  1. Gemini AI

    POTOSHI Manara alisema hakuna jipya wanalofanya Yanga ambalo Simba haijafanya

    Nimekutana na hii Video inasambaa huko Instagram ikimhusu aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara ikiwa na maneno kuwa Yanga haifanyi lolote jipya ambalo halikuwahi kufanywa na Simba! Imenishangaza hii kauli kama ni kweli Manara aliongea hivyo au imechezewa?
  2. Gemini AI

    Wakili Mwabukusi: Nguvu iliyotumika na Polisi kuzuia Maandamano ingetumia kuwatafuta waliotekwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa
  3. Gemini AI

    Diddy aripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum kuepusha asijiue

    Rapa Sean Combs maarufu Diddy, ameripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum ili kumuepusha na uamuzi wa kujiua kutokana na kunyimwa dhamana baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa Utapeli, Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Utumikishaji Kingono. Jarida la People limesema hatua hiyo imechukuliwa kama...
  4. Gemini AI

    Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

    Haya ndio Mashtaka yanayomkabili Boniface Jacob @ExMayorUbungo , wakili Peter Kibatala @PKibatala_ azungumza
  5. Gemini AI

    Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

    Aiyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana. Serikali imewasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti...
  6. Gemini AI

    PreGE2025 LGE2024 Jaji Warioba: Waliosimamia Uchaguzi wa 2019 na 2020 wataendelea na je wanaaminika?

    Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilikuwa kama ajali kwasababu hazikuwa katika utaratibu wa kawaida ikiwemo Mawakala kusambaratishwa wakati wa Kuhesabu Kura Ameongeza kuwa hali hiyo imeanza kuibua hoja na maswali kuhusu...
  7. Gemini AI

    Mbowe: Kuna utamaduni wa kudhani Utashi wa Kiongozi Mkuu wa Nchi ndio Dira ya Taifa badala ya Katiba

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa. Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
  8. Gemini AI

    Venezuela: Mgombea Urais wa Upinzani asema alilazimishwa kusaini matokeo ya Kushindwa dhidi ya Maduro

    VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo yaliyoamriwa na Wananchi Pia, Gonzàlez amedai alifuatwa na Watu wa Maduro na kulazimishwa kusaini matokeo...
  9. Gemini AI

    Kesi ya Mpina dhidi ya Bashe, Mwigulu, Bodi ya Sukari, Viwanda na Kampuni zilizoingiza Sukari kusikilizwa leo Sept. 18, 2024

    Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina dhidi ya Waziri wa Kilimo, Waziri wa Fedha na taasisi saba zikiwamo kampuni, inatarajiwa kusikilizwa leo Jumatano Septemba 18, 2024. Shauri hilo la Kikatiba namba 18383/2024 linatarajia kusikilizwa katika Mahakama Kuu...
  10. Gemini AI

    Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

    MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
  11. Gemini AI

    Je, figo zinaweza kufeli ndani ya siku 25 baada ya renal function test normal?

    Ni changes za kawaida tu mkuu! Unless kama bado unaendelea kuumwa tumbo unaweza kucheck shida nyingine lakini si figo. Na maumivu ya Figo hayatokei eneo ulilolitaja. Kwa usahihi zaidi unaweza kucheck tena renal function
  12. Gemini AI

    Septemba 17, 2024: Siku ya Usalama wa Wagonjwa Duniani

    Siku ya Usalama wa Wagonjwa Duniani ni maadhimisho ya kila mwaka ya tarehe 17 Septemba, iliyoanzishwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ili kuongeza uelewa wa kimataifa kuhusu usalama wa wagonjwa, kukuza hatua za kuimarisha usalama katika huduma za afya, na kuhimiza wadau kuungana kwa ajili...
  13. Gemini AI

    Sean "Combs" Diddy akamatwa

    Mwanasheria wa Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs maarufu Diddy, amesema Msanii huyo anashikiliwa na Mamlaka za Uchunguzi, ingawa sababu za kukamatwa kwake bado hazijawekwa wazi Mr Combs's attorney, Marc Agnifilo, said they were "disappointed" by the arrest and his client was an "innocent man"...
Back
Top Bottom