Akifuata ushauri wako ataishia kujilaumu bure na kula hasara. Website ni zaidi ya kutengeneza. Kuna kuhakikisha website unaweka SEO nzuri ili iwe kwenye rank za juu Google. Acha kupotosha watu
Website ndiyo ni dubwana la ajabu sana. Acha na website za kucustomize tu kwa kutumia WordPress au Wix. Nazungumzia website za kudevelop from the scratch wewe mwenyewe
Siyo wezi mkuu. Hivi unajua maana ya website wewe? Wewe Google mtandaoni uone website ina gharimu shilingi ngapi. Milioni mbili ndogo sana kwa ajili ya kutengenezewa website nzuri.
Mkuu unadhani hiyo website ya $26 na domain ya 40k ni website nzuri? Acha kumpotosha mwenzako. Kama anataka website nzuri aandae zaidi ya 500k siyo chini ya hapo. Pia acha kucheza na taaluma za watu basi.
Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.