chukua chako mapema,chelewa chelewa utakuta mwana sio wako,lazima panapo patikana nafasi lazima zitumike,lakini hii ni ishara yakuwa wanamajonz yakutokwa na mbunge wao,hvyo kupandisha pendera yaweza ikawa ni ishara ya kuomboleza,ila swali linakuja je bendera hzo ni nusu mlingot au zimepandishwa...