Ada ya kuingia Entrance Fee Tshs 10,000/= kila siku x siku angalau 5, camping fee Tshs 5,000/= kwa usiku, rescue fee Tshs 2,000/= kwa trip, Mpishi/porter Tshs 20,000 kwa siku na utahitaji angalau porters watatu na guide mmoja, chakula Tshs 30,000 kwa siku, nguo maalumu angalau Tshs 60,000 kwa...