Mkuu, nimesoma vitabu hivyo ulivyo cite hapo juu except hicho cha mwisho. Nakubaliana na wewe to some point ila kumbuka hizo ni analysis tu kutoka kwa wadau based on their point of view and perspectives. Ila Naamini haitokuwa kirahisi hivyo kushusha nguvu ya dola (USD). Kuna figisu zinaendelea chini kwa chini kati ya IMF & World Bank kuhusu nchi za Kiafrika zinazokopa china. Katika Geopolitics, mchina hana impact but US does. Kwa mtazamo wangu, UAE akiachana na US ndo mwisho wake. Kumbuka uchumi wa UAE unatokana na mafuta na what if US akivuruga bei ya mafuta? Nini itakuwa hatima ya Saudia? Records zinaonyesha kuwa uchumi wa Saudia ni sawa na wa state moja tu kwa US. Kama Marekani akisema liwalo na liwe, Saudia itakuwa another Syria. Nafikiri kwenye Mgogoro huo ulipo, Saudia atumie diplomasia kutatua tatizo kuliko vitisho. Kwa mfano, US akipandikiza ISIS pale UAE...unafikiri ufalme utakuwepo? Nihitimishe kwa kusema, Diplomacy ni bora kuliko vitisho na Saudia anamhitaji USA kuliko US anavyomhitaji Mwarab (Saudia)