Mabadiliko; Matokeo ya Usaili wa Mchujo PPF uliofanyika DUCE 28-Aug

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Wadau kwema?

Hapo awali nilileta uzi wa Matokeo ya usaili wa mchujo wa PPF uliofanyika DUCE tarehe 28 August. Usaili wa pili ulipangwa kufanyika hapo kesho tarehe 08th September Matokeo ya Usaili wa Mchujo PPF uliofanyika DUCE 28-Aug. Lakini taarifa ya PPF iliyotoka hivi punde inaonyesha kua Usaili huu wa pili umeongezwa muda mpaka hapo Jumatatu tarehe 11th September.

Usaili huu kwa sasautafanyika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE). Kama kawaida majina ya usaili huo haya hapa kwenye hii linkhttp://www.ppf.or.tz/home/common/uploads/vacancies/1503565202IMG-20170823-WA0006.pdf na pia waweza kuyapata kwenye attachment iliyopo kwenye huu uzi.

Na statement ya PPF kuhusu kuhairisha ni hii hapa chini.
 

Attachments

  • Usaili PPF2.pdf
    1,021.4 KB · Views: 515
Unaita watu zaidi ya 400 kwa wakati mmoja kwenye usaili? Nini? Uwazi? Sidhani. Wataalamu wa Rasilimaliwatu mpo?
 
Back
Top Bottom