Recent content by Geen

  1. Geen

    Brother ananishawishi nitembee na Mkewe kabisa wa Ndoa

    Kama ana pesa mwambie akafanye IVF. Kama mbegu zake zinazingua uwape zako
  2. Geen

    Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

    Umeshasema ukweli. Atatafakari na kachukua hatua. We mbembeleze tu ila ukweli ubaki hapendi hizo nywele
  3. Geen

    Ameacha kutumia supplements za ujauzito

    Dawa hizo ni muhimu sana. Wanatoagaa Folic acid na vya Iron. Hizo Folic ni muhimu sana miezi 3 ya mwanzo ya Ujauzito maana zinaepusha Mtoto kuzaliwa na vilema kama. Kichwa maji. mgongo wazi Mdomo sungura Lips za kuchanika na vilema vingine. Kama hizo zinamshinda kuna ambazo unanunua hazina...
  4. Geen

    Ushauri: Nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu

    Kumbuka huyo Mtoto kusoma ndio bye bye kwa utaratibu wa sasa ataenda veta tu. Jiandae hasira kali kutoka kwa wazazi
  5. Geen

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Hakufai. Hakupendi. Hana bikra huyo mzoefu sana Aache kutolewa bikra na mpenzi atoe na dildo? Inshort wewe ni wakuchunwa tu. Hana mpango na wewe. Hizo pesa fanya projects
  6. Geen

    Nimechanganyikiwa mwezenu

    Sijaelewa mchumba wako alisikia kila kitu inamaana na yeye alikua hiyo sehemu mliyokutana. Funguka zaidi
  7. Geen

    Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

    Nilishapika lakini sikuanza kwenye jiko niloweka kwenye ovena straight.Uliiza vizuri lakini chini ilikia mgumu sana
  8. Geen

    Zebra cake

    Hii cake nilishapika aisee ni nzuri sana,very artistic
  9. Geen

    Nimeambiwa kuwa baba nilienae siyo my biological father nifanyaje?

    Tuliza akili kwanza ndio utajua nini cha kufanya.Chochote ufanyacho uendelee kumpenda na kumueshimu baba mlezi kama baba yako.Pili ulizia kisa cha mama yako kutokukufahamisha juu ya baba mzazi hapo ndio utajua kama utataka kumfahamu au la
  10. Geen

    Aliwahi Kujaribu Kujiua Kwa ajili yangu! Na Sikumuoa Mimi..

    Vanessa alikua sahihi kabisa kutokukusubiri maana unaonekana wewe bado upo upo tu wakati biological clock ya mwenzako ilikua inasogea.Ila bado anakupenda anataka uwe mpango wa kando aisee.Poleni sana.
  11. Geen

    Heaven on desert akiwa hotelin na boss wake

    Europeans ndio staili yao kula na uma na kisu,Americans they real dont bother that much labda wale wa high society.Hivyo waswahili hata tusiposhika propery sio ushamba
  12. Geen

    Heeee mama kumbe ushenzi uliuanza zamani..........

    Kwanza inaonyesha mazingira ya hapo kwao sio ys kistaarabu
  13. Geen

    Heeee mama kumbe ushenzi uliuanza zamani..........

    Kama hamueshimu mama mzazi sidhani kama atakuheshimu wewe wala wazazi wako
  14. Geen

    Talaka saba ... !!Are you serious ..??

    Kuna mambo ya kuvumilika mengine hell no hayavumliki,kwangu mimi ni kipogo hicho sivumilii ngooo
  15. Geen

    JE kuwasuka nywele watoto ni sahihi?

    Naumia tu roho nikiona mtoto mdogo miaka 3 anawekwa relaxer.
Back
Top Bottom