Ameacha kutumia supplements za ujauzito

Ameacha kutumia supplements za ujauzito

Dawa hizo ni muhimu sana.
Wanatoagaa Folic acid na vya Iron.
Hizo Folic ni muhimu sana miezi 3 ya mwanzo ya Ujauzito maana zinaepusha Mtoto kuzaliwa na vilema kama.
Kichwa maji.
mgongo wazi
Mdomo sungura
Lips za kuchanika na vilema vingine.
Kama hizo zinamshinda kuna ambazo unanunua hazina kichefuchefu
zinaitwa Pregnant care na brands nyinginezo
 
Back
Top Bottom