Mkuu Melchio, kweli unaweza kuwa unamfahamu Dr. Juma Athuman Mfinanga, mie pia ninamfahamu. Amekuwa waziri wangu wa fedha pale chuo kwa muda mrefu. Ni mpenda uongozi na ni mchapa kazi mzuri tu. Ni mkuu wa kitengo cha huduma ya dharura pale MNH. Pamoja na yote ni mtu aliye dhaifu sana kujieleza...
Kama kweli daftari la wapiga kura Kalenga limefanyiwa marekebisho, Je marekebisho hayo yamehusu kuondoa majina ya waliofariki tu?
Vipi kuhusu kuandikishwa wapigaji kura wapya waliotimiza umri wa kupiga kura, ambao ni maelfu ikizingatiwa ni wengi waliotimiza umri huo toka maboresho ya mara ya...
Wakuu habari za majukumu, ambaye anafahamu namna ya kupata scholarship za Russia kupitia hii kitu inayoitwa RACUS anipe details hasa kwa scholarship za Masters of MEDICINE/ DENTISTRY.
Na guarantee ya kupata ikoje.
Asanteni.
Neno wengi ni ralative sana,linaelewaka vizuri linapoelezwa in terms of ratios.
Maadui aliojitengenezea Kagame ni wengi na anaendelea kuwatengeneza kila siku ikiwa ni pamoja na aliokuwa nao ndani ya kundi lake la waasi wa RPF. Wapo ndani na nje ya Serikali yake, ndani na nje ya nchi yake, ndani...
Hata akifanikiwa kumuua Generali Nyamwasa, bado Kagame hawezi kuwa salama kama anavyodhania, wanaopinga uongozi wake ni wengi sana na kamwe hawezi kuwamaliza kabla hawaja mmaliza yeye.
Kwa nini wewe binafsi unai-diss hii bussiness kaka nipe maelezo kamili kwa nini nisijiunge nayo kabisa, maana umesisitiza kuwa niweke mbali na watoto kabisa.
Wakuu, nimekuwa nikishawishiwa na baadhi ya rafiki zangu kujiunga na biashara ama shughuri zinazohusiana na kampuni ya telexfree. Nimekuwa nikipewa maelezo yanayo onyesha dhahiri mafanikio makubwa ya kipato baada ya kujiunga na kaampuni hiyo yenye shughuri kupitia mtandao wa internet. Mimi ni...
Msaada kwa tuliopo mikoani, bei ya kingamuzi cha Azam ni kiasi gani, na malipo kwa mweiz ni kiasi gani na malipo ya mwezi yanapo expire ni channel gaani zinazobaki zinaonekana, Kwa ujumla wake channel zipi za kibongo zinazo onekana, Samahani wadau kwa maswali mengi.Naombeni mnieleweshe maana...
Hapa bado tumechezewa akili zetu kabisa, maana yake ni kwamba kama siku isiyo na kikao cha bunge la katiba walipokea Tsh 80,000/= mfano Jumamosi na Jumapili au public holiday yoyote, basi kwa mabadiliko hayo watakuwa wanapokea Tsh 220,000/=. Maana yake kwa siku za mapumziko wamepata nyongeza ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.