Uwe unapost kitu nakuandika walau ukweli na sio kujaza nyongo kwenye vifua vya watu juu ya jeshi la police na kutangaza vifo mahali ambapo hamna kifo. Jifunze kutoa habari jinsi ilivyo.
Inategemea wewe ni nani na mazingira yapi. Si wewe uko kwenye basi na kasimu kako ka mchina ukamuona askari ukampiga picha aise utachezea nyavu bt kwa ndugu zangu wana habari kama mazingira yanawaruhusu wanaweza piga picha.
pole kwa kukimbia kozi umayai wako ulikuponza . Yale matusi yanamjengea askar mazoea ili hata atakapotukanwa na raia aone kawaida tuu. Gwara kwa wana wote waliopita pale wakamaliza now wanakula cha kati na cha mwisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.