Recent content by gasmash

  1. gasmash

    Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Baadaye kidogo nipo darasani
  2. gasmash

    Mama Kanumba kumtembelea Lulu gerezani

    Broo yangu mtoa post ishu ya kanumba na Lulu imenichosha , binafsi nikikuta ishu zao inaniboa mno
  3. gasmash

    Askari magereza.....!!!

    Unafikiri huyu mdada atapangiwa kazi gani pale kazini? Nawakilisha[emoji38]
  4. gasmash

    Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

    Maagizo yoyote atuayo president huwa ni Amri kifuatacho ni utekelezaji so huo utani ambao Nape anazungumzia upo wapi? , binafsi naona kama huyo Nape anajipendekeza kwa mkuu hili amfikirie kanafasi. na tangu lini Nape akawa msemaji wa president?
  5. gasmash

    Wadada jitahidini kupaka mafuta makalio yenu

    Broo ulienda kufanya nini kwenye hayo makalio, siyo kweli kuwa wewe ni dokta, na kama dokta upo mkoa gani ambako akina dada makalio yao ni magumu? .
  6. gasmash

    Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Unajua viongozi wetu nao wanachangia matatizo pale kamanda mambo sasa huyo wa kanda maalum anapotoa pole kwa wananchi waishio ukonga mombasa kwa kile kinachodaiwa kupigwa na watu wanaosadikika kuwa ni polisi na kusema wale siyo polisi ni wahuni tu,je a natarajia nini kwa kauli yake hii kwa raia...
  7. gasmash

    IGP Sirro atuma askari kutoka Makao Makuu kupambana na askari wa FFU waliokuwa wanapiga raia ovyo

    Broo hapo twapigwa changa la macho ishu siyo kweli kuwa wametumwa askari toka makao makuu, ni Amri tu iliyotolewa na mkuu wa FFU kuwa kazi muliyofanya ni mzuri , inatosha kilichotoka makao makuu ni tume tu kuja kuchunguza mazingira ya tukio. Acheni hizo tunapigwa kama sisi siyo raia wa nchi hii...
  8. gasmash

    Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

    Duh, broo labda naomba kujua vigezo ambavyo utambulisha kuwa huyu mwana mke ni mrembo
  9. gasmash

    Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

    Duuh, hiyo ndiyo bongo
  10. gasmash

    Nina Kiasi cha Milioni 1.6 je nikianza kujenga room self naishia wapi?

    Broo nikisha toka toilet nitakushauri lkn nahisi utaishia chini
  11. gasmash

    Siri imefichuka Wachezaji wa Yanga Nahodha Cannavaro na Kessy wapigana wakigombea posho

    Kumbe mkuu upo kishabiki zaidi badala ya ukweli wa mambo, ndiyo kusema unavizia nafasi ya kuwa msemaji wa klabu ya simba kuchukua nafasi ya Manara, anayetakiwa kuachia nafasi kutokana maiki atumiazo kuwa na madini ambayo ni hatari kwa watu wenye vimelea vya albinos. Athari zake ni kuzeeka...
  12. gasmash

    Hoja kwamba hakuna wasichana wa kichaga wenye miguu ya bia ni uongo na udhalilishaji

    Broo nipo katika hiyo tume lkn nadhani kama nitapotosha jamii kwani my wife ni mchaga
Back
Top Bottom