Recent content by GAS STATE

  1. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    google utaona
  2. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    HATIMAYE KAGONGWA KWEUPEE
  3. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Sioni wa kuvaa viatu vya Dr. Magufuli kwa Miaka 20 ijayo

    kichaa
  4. GAS STATE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladies; sijawahi kuwa weak namna hii, msaada wenu please kwenye first date Kigoma

    ukimwi hautoisha
  5. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya moshi inavyokumbatia ukabila na udini

    mzee Msuya alikuwa PM alichokifanya ni kusambaza umeme na lami vijijini huko Kilimanjaro wakati miji mikubwa inavumbi na giza. sehemu inalimwa ndizi tu imepelekewa umeme na lami lakini mikoa inayolima korosho na pamba mazao ya haina lami wala umeme sio vijijini wala mjini. hawa jamaa hawafai kabisa
  6. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Masheikh wa Uamsho

    hawakukamatwa kwa sababu ya uislam wao na hawakuwa wakitetea uislam wao bali UZANZIBAR wao na MUUNGANO
  7. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, na nafasi ya Kanisa Katoliki

    HOVYO KABISA kanisa lenyewe ni mkoloni iweje ajitoe mwenyewe
  8. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya utaratibu wa uhamisho wa sekondari

    kama hujuwi kaa kimya subiri uzi wa level zako, headmaster wa shule yoyote lazima ajuwe procedure za uhamisho we unang'ang'ana na anakosoma mwanangu tu
  9. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya utaratibu wa uhamisho wa sekondari

    thanks mkuu ndo nikisubiri majibu yaliyoenda shule kama haya, now najuwa wapi nianzie
  10. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya utaratibu wa uhamisho wa sekondari

    HUMU MAHEADMASTER WAMO SO itapunguza gharama ya kwenda huko kama sio starting point
  11. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya utaratibu wa uhamisho wa sekondari

    Assalam Aleykum wakuu, mwanangu nataka kumhamisha shule ya sekondari ya serikali toka Mkoa mmoja kwenda mwingine hivyo naomba mwongozo nianze na nini au wapi.
  12. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Waziri Mwita Waitara alikuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni pale Buibui kabla ya kuuawa Akwilina

    hivi hakuna BAVICHA member wa kuripoti mojakwamoja juu ya examination za viongozi wao hadi tuletewe na Lumumba tuweni serious vijana
  13. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Yondo Sister katika muziki wake!

    ENZI HIZO MDADA BOMBA AKIITWA YONDO
  14. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya demokrasia ndani ya CHADEMA na ukomo wa kipindi cha Uenyekiti

    MSIGWA anajitetea huko kisutu so aliye huko aripoti ili tuone hoja, maswali na majibu yake
  15. GAS STATE

    JamiiForums Tanzania Historia ya ajabu ya kisiwa cha Pitcairn

    Sijaona uhusiano wa bible na ustawi wao je jamii ambayo haitumii bible haiwezi kustawi
Back
Top Bottom