Msaada juu ya utaratibu wa uhamisho wa sekondari

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
959
Assalam Aleykum wakuu, mwanangu nataka kumhamisha shule ya sekondari ya serikali toka Mkoa mmoja kwenda mwingine hivyo naomba mwongozo nianze na nini au wapi.
 
Simple tu nenda shuleni kwa huyo dogo ongea na headmaster atakupa utaratibu mzima
 
HUMU MAHEADMASTER WAMO SO itapunguza gharama ya kwenda huko kama sio starting point
 
Nenda kaombe nafasi kwenye shule unayotaka mwanao ahamie, ukishapata nafasi watakupa barua ya kukubaliwa pale ambayo utaipeleka while anayosoma mwanao then watampa form za uhamisho na process zingine zitaendelea...shule anayosoma mwanao hawatamruhusu mwanao ahame kama kama hajapata shule maana huwa wanahofia unawwza kosa shule afu ukatala rudi tena pale wakati wameshakupa go ahead
 
thanks mkuu ndo nikisubiri majibu yaliyoenda shule kama haya, now najuwa wapi nianzie
 
Poa msubiri aje headmaster wa shule anayosoma mwanao humu
kama hujuwi kaa kimya subiri uzi wa level zako, headmaster wa shule yoyote lazima ajuwe procedure za uhamisho we unang'ang'ana na anakosoma mwanangu tu
 
Back
Top Bottom