Recent content by gangrel

  1. G

    Spika Ndugai: Askari nikisema mbunge atoke akikaidi mpigeni nawaruhusu

    Daaaah hilo ni ombi zito sana mkuu.... Yaani jinsi nilivyokuwa nikimwombea huyu Ndugai wakati amezidiwa.... Anyway sometimes tuwe na huruma hata kwa familia yake tu....tuzidi kumwombea afya yake iimarike...
  2. G

    TANZIA: Mzee Kitwana Kondo afariki dunia

    Daaah Rest In Eternal Peace Kitwana Kondo...Nakukumbuka kwa ule usemi wako maarufu bungeni kwamba"hata chini ya bahari Ngisi huwa anamnong'oneza Pweza kwamba hapa tunatafutwa sisi" Enzi akiwa Mayor wa Dar...Rais alikuwa Mwinyi na Mkuu wa mkoa alikuwa Ditopile huku Diria na Kighoma Malima wakiwa...
  3. G

    Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

    Mmmmh yaani kuna watu wanavyo comment humu utafikiri walikufa...wakazikwa na sasa wamefufuka.... Unaanza vipi kupaka rangi upepo kwa kumtetea RC kwa uvamizi wa kipumbavu alioufanya clouds?? Yaani mijitu inaleta ushabiki kwenye kila kitu...Najaribu kuvuta picha tu ya taifa la Tanzania...
  4. G

    Wakala wa kuzimu aliyetumwa na mafia

    Nadhani nyakati hizo New Orleans ilikuwa na hofu za hatari...Na Axeman angeamrisha lolote lingefanyika.
  5. G

    Je, Wajua kuwa Mambo hujirudia.!!??

    Hiyo ni kweli kabisa....ila huwa inakuwa ngumu kukumbuka exactly hilo jambo uliwahi kulifanya/kulisikia likifanyika wapi...
  6. G

    Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

    Hili suala la manunuzi na kandarasi kubwa kubwa za serikali kufanywa na watu wawili tu tena kwa siri kubwa litakuja kuleta shida...
  7. G

    A night in Africa: Journey from Bukene

    Niliwahi kumsikia Askofu Gwajima kwamba alifahamiana na Dr.Slaa toka akiwa Jesuit kule Musoma....
  8. G

    Mkanda wa mauaji wa chumba namba 1046( Kivuli cha 'Don' na jasho la wapelelezi)

    Safi sana...next time unitag mkuu SteveMollel
  9. G

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Hahahaha naona unamwelimisha zuzu aliyekaririshwa kuanza kula faida kabla ya Ku break even....
  10. G

    Sakaya akimbiwa na wabunge wa CUF, aibu

    Mkuu...Huyu mama sidhani kama atarudi kugombea kaliua..Kwani anajua fika kazi na fitna zilizokuwa zikifanywa na wanazi wa chadema hadi kupata jimbo.
  11. G

    Spika Ndugai: CHADEMA wakileta wale wale wakakataliwa tutabadili kanuni tuwape wengine

    Hilo suala la kuangalia wote wanatoka jimbo moja na wote wana imani moja ni uhuni kutamkwa na Kiti cha spika...Kwani Job na Tulia wana imani tofauti?? Ifike sehemu tusimulike vitu ambavyo watanzania hawavitaki wala kuwa na mpango navyo...
  12. G

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Mimi ni muumini mkubwa wa performance kuliko gender equality na ndio maana huwa namuelewa sana hata Magufuli anavyojali zaidi ufanisi kuliko usawa wa jinsia kwani wote tulishuhudia mapungufu makubwa ya kiutendaji enzi za kina Hawa Ghasia na Sophia Simba ambao nadhani walipata uwaziri kwa sababu...
  13. G

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Tanzania kama taifa tumeshafika ktk pointi mbaya sana....tunazingatia ushabiki kila mahali pasipo hata soni...linapokuja suala la kutetea au kupigania maslahi ya taifa, mataifa yote duniani raia wake huungana na kuwa na common view/stand... Hapa kwetu ni tofauti sana yaani kama tumerogwa si...
  14. G

    Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Hahahaha mkuu hawa uliowataja wote wana allegations za kutumia ngada...tena huyo Higuita wanadai ni wholesaler...watoto wa Medellin.
  15. G

    Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

    Kwani hizo nafasi sita ccm imezipataje?? Na sio utaratibu huohuo utatumika kupata wawakilishi wa EALA Kwa vyama vingine vyenye idadi kubwa ya wabunge bungeni kama CDM na CUF...?? Yaani chama chenye mwakilishi mmoja bungeni kikazoe viti vya uwakilishi wa EALA??
Back
Top Bottom