Reli ya kwetu tunajenga kwa US$187m/300km tena kwa pesa yetu wenyewe yaani ikikamilika tunaanza kula faida moja kwa moja. wenzetu wakenya wanajenga reli hii hii kwa US$3800m/609km tena kwa pesa ya mkopo ukiongeza na riba huu ni mzigo kwa walipa kodi wa Kenya.
Reli yetu mpya itakuwa na wastani wa speed ya 160km/h yaani ikichanganya sawasawa inaweza kwenda hadi 200km/h. Wenzetu yakwao ni wastani wa 80km/h, hii speed kama ya abood au Ngorika express! kwa treni ya kwetu ikiondoka Dar saa mbili asubuhi unakula msosi wa usiku mwanza wakati ile ya kenya utafika kesho yake mchana.
Hii yakwetu ni hybrid inatumia umeme ukikatika dereva ndio anawasha engene, ya Kenya ni wese kwa kwenda mbele, kwa hili JPM umetuonyesha kuwa wewe sio mtu wa mchezo mchezo umenuia kweli kututoa kwenye umasikini wa kipato.