Recent content by Gangaboe

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa utoaji matokeo ya mitihani ubadilike, huu wa sasa unashawishi udanganyifu

    Mimi naona wako sawa tu kwa sababu zifuatazo. 1.Hiyo ni kama motisha kwa shule zilizofanya vizuri,pia na shule zilizo kwenye kumi mbovu ni kama adhabu kwao,inasaidia kuja na mbinu mbadala kama vile makambi ya madarasa ya mitihani ,hiyo inachangia kufanya vizuri. 2.Usimamizi ,ulinzi na usalama wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hawa askari hapa wanalinda nini?

    Ukuu wa mwafrika. Dhana ya kuchanganya udongo nchi mbili zikazaa jamhuri moja ya muungano ni zaidi ya udongo,na Mara baada ya kutangazwa kwamba Tanganyika iko huru 1961 mwenge ukapandishwa kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro. => ulete upendo palipo na chuki. =>uwe chachu ya haki kwenye...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni kweli Ndugulile na Kalemani wameondolewa kwa ushawishi wa matajiri?

    Kiongozi anadhihirika katika ufanyaji wa maamuzi na kupanga mikakati kuhusu kundi analoliongoza,kiongozi wetu kaamua na anamatarajio katika maamuzi yake, ikumbukwe pia katika maamuzi huwezi kupatia nyakati zote. Kwa watalamu wa kemia watakumbuka displacement reaction............ The most...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Siwezi kujitetea kwa mahubiri yanayotoka kwa Roho Mtakatifu

    Well,that is what referred as prophetic intelligence. According to our constitution, each person has freedom to give opinion I,and this proves on variation in thoughts, the thought/opinion of majority is regarded as the best opinion and it must be followed ,but those with different views as...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Dhahabu ya bei mbaya yaibwa, vigogo matatani

    Kuibiwa ni hali ya mtu kuchukua Mali ya mwingine bila idhini yake lakini kuibwa ni mtu moja kumchukua mwingine kwa nia ya kumteka. Kutoweka ni hali ya kitu au mtu kutokuonekana bila taarifa yoyote.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

    Wenye akili kubwa tulielewa hekima aliyoitumia askofu Gwaj:Dima lakini pia alionesha kuimudu vyema sayansi ya siasa mbele ya mkulu.Ila wananchi walimjibia vyema naye akawa anafurahi wananchi kumuelewa vilivyo.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nepotism: Jeshi la Polisi na upendeleo kwa wana CCM huku likinyanyasa wapinzani. Hivi Sirro hamuoni Gwajima?

    Kifanywacho na mamlaka kumhusu gwajima ndicho kilitakuwa kifanyike kwa raia wote ,maana kwa mjibu ya katiba yetu,wanao Uhuru wa kutoa maoni,kutafuta habari na kutoa maoni.Na kama selikali iliyoko ni selikali yavwatu iliyowekwa na watu,basi hoja siyo kupigwa wala kuswekwa rumande,hao wenye...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

    Su Subsistence allowance brother
  9. G

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayoendelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani

    Hongera kwa fikira zenye uhai,ukiwa hai na afya mujaarabu ya ubongo kuwaza hakukwepeki. • Kuhusu kwamba saivi tuko mbinguni kwa jinsi nionavyo Mimi siyo kweli kwa sababu zifuatazo..... 1.Mbinguni kuna mwenye enzi ambaye ndiye Mungu, lakini saivi tuko katika ongozi na tawala mbalimbali za dunia...
  10. G

    JamiiForums Tanzania RC Simiyu, Anthony Mtaka: Sitoruhusu ‘Police Economy’ kwenye uongozi wangu

    Positive actions normally comes from people with positive mentality.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

    Waoga na w Waoga na wenye kujinyekeza kwa watawala kwaajili ya matumbo yao hukumu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto. => Tukipata watu hata elfu moja wenye kujielewa na kusimamia imani yao nzuri kwa ustawi wa taiga letu,hakika mama Tanzania atakuwa mbele mno kimaendeleo.
Back
Top Bottom