Binafsi huwa sipendi mambo ya kuitukana serikali na wanasiasa lakini katika hali ya uchumi ilivyosasa kuna mpango kambambe ushapitishwa na HARUNA MASEBU na wenzake kuwa kila aliyechimba kisima cha maji nyumbani kwake atatozwa fees
This is unfair na nadhani its about time tukaanzisha petition...
Hilo la uozo ulipo medical store lina ukweli na limelalamikiwa mpaka na NGO mbali mbali zinatozoa huduma kwenye zahanati na hospitali zetu
kama hawawezi kazi hawa mawaziri Free awabadilishe tuu
Kwa bahati mbaya hoja zako zote zimekuwa clouded by emotion .
kulikuwa na ubaya gani ukatoa maelezo bila kutukana na kurusha maneno makali hivyo?
Nilitaka kukunga mkono lakini nashindwa na sababu kuu ni 3:
1. Wananchi hawajaelimishwa juu ya hizi ripoti za CAG na ukweli ni kuwa nyingi ni za...
lakini hawa mawaziri vivuli wamekuwa invisible kabisaaa
huwaoni
huwasikii
na inaonekana bosi wa Bwana Freeman hakutani nao na akawapa ukweli kuwa wamekuwa invisible
inatisha na naogopa sana
naona nchi zingine seriali zao zinavyooendeshwa mbio na mawaziri vivuli kwetu wao wame relax tuuu
katika hali ya kawaida ofisi yake toka saa 6 usiku ilitakiwa ishapandisha ripoti live kwenye website lakini ukweli ni kuwa jamaa hataki na sijui anaficha nini
National Audit Office of United Republic of Tanzania
lakini ana mtetetzi wake atakuja kutea hii incompetency yake na ofisi yake
Waziri kivuli wa afya mbona kimya juu ya ufisadi Medical stores?
waziri kivuli wa utamaduni mbona yuko kimya juu ya ufisadi unaoendelea kwenye wizara ya emanuel nchimbi? (serikali kugharamia mazishi ya kanumba, sheria na miswada kuandikwa kwa kiingereza, ripoti muhimu zote kuandikwa kwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa na mkewe ambaye ni binti wa mwanzilishi wa Chadema bwana Edwin Mtei
Edwin Mtei ambaye ni mwanzilishi wa CHADEMA na pia baba mkwe wake Mwenyekiti wa Chadema bwana Freeman Mbowe (Mbowe kaoa binti yake Mtei) aliyoa kauli ya malalamiko kuwa wajumbe wa katiba mpya wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.