Recent content by Gambino X

  1. Gambino X

    Wazo La Kukuza Uchumi kwa Wakulima an Vijana

    Ahsante. Penye Nia, Pana Njia.
  2. Gambino X

    Wazo La Kukuza Uchumi kwa Wakulima an Vijana

    Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko. Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani kuona mawazo ya Wa Tanzania wenzangu ya kiuchumi na tuangalie namna gani kwa pamoja tunaweza...
  3. Gambino X

    SoC04 Tanzania yenye kuwapatia wakulima wadogo wadogo hifadhi ya mazao wakati wa mavuno na mikopo nafuu kuwaepusha kuuza kwa bei ndogo kabla ya muda husika

    Zaidi ya 70% ya WaTanzania wanaishi vijijini ambako kuna maeneo mengi yenye rutuba za kuwawezesha kulima hivyo kupelekea waTanzania wengi wa kipato cha chini na kati kujikita katika shughuli za kilimo kwenye maeneo/mashamba yao huko vijijini. Kilimo kinalipa. Ukiangalia kinatoa bidhaa...
  4. Gambino X

    SoC04 Tanzania ya Vijana wenye uelewa na kushiriki shughuli kuu za kiuchumi zilizo katika maeneo yanayowazunguka zinazowawezesha kujiajiri au kuajiriwa

    TANZANIA TUITAKAYO 💪🏽. Tanzania ya VIJANA wenye uelewa wa shughuli KUU za kiuchumi zilizo katika maeneo yao wanayoishi au kuzaliwa ambazo zina wawezesha kujiajiri au kuajiriwa katika makampuni au taasisi zilizopo kutokana na mazingira yanayo wazunguka kama bandari, kilimo, uvuvi, madini...
  5. Gambino X

    Bitcon Itaua Watu

    Wauze ili ununue ehhh[emoji848]
  6. Gambino X

    Natafuta anaetoa huduma ya bulk sms with fair price

    Natafuta anaetoa huduma ya bulk sms with fair price anicheki asap, especially mwenye database ya contractors, mafundi dar es salaam na mikoani. Urgent - Thanks
  7. Gambino X

    Mwanadamu na maisha baada ya kifo

    Ahah mfano wako umetisha. Mbuzi mnyama hata binadamu mnyama nae. Mfano mtu kaliwa na simba.
  8. Gambino X

    Tigo wezi

    Wanazingua hadi Tigopesa, ukikosea tuma hela ukipiga tu simu wanakuzingua hawakupi wala nn, itakua ukiacha wanao force wanai ilA
  9. Gambino X

    Tunachora Watoto na Kupiga Picha Kali

    #NguvuYaBuku Karibuni
  10. Gambino X

    Tunachora Watoto na Kupiga Picha Kali

    Tunapatikana Boko Beach - Tumeamua kuwaletea Art watoto wa mtaani pia photo shoot ya kibabe kila mtu afurahi na family - Zawadi yetu kwa jamii hii #BoxingDay - vitu flani kwa uswahilini hakuna mpaka uende Mlimani city - kwanini na wao wasienjoi #NoInclusion So hebu tu join leo tutakuepo na mwaka...
  11. Gambino X

    Tetesi: Michezo mingi ya kamali ni feki

    Mambo vp, mnajua kuwa hii michezo ya kamali ukitoa za mpira wa miguu ni feki balaa... Nasema feki kwasababu moja kuu kwamba hii michezo mshindi anachaguliwa ofisini yani wanaamua leo tumpe flani wengine ufata majina ya ukoo n.k ni system na mara nyingi huchagua washindi wakishafikisha pesa yao...
  12. Gambino X

    Waliowahi kuishi na kufanya kazi nchini Malawi

    Aliyepo Malawi hivi sasa anicheki, kuna Biashara nzuri sana
Back
Top Bottom