Natafuta anaetoa huduma ya bulk sms with fair price

Natafuta anaetoa huduma ya bulk sms with fair price

Gambino X

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
75
Reaction score
104
Natafuta anaetoa huduma ya bulk sms with fair price anicheki asap, especially mwenye database ya contractors, mafundi dar es salaam na mikoani. Urgent - Thanks
 
From 0 to 100 SMS is 50/= per SMS
From 101 to 500 SMS is 40/= per SMS
From 501 to 1000 SMS is 35/= per SMS
From 1001 to 5000 SMS is 30/= per SMS
From 5001 to Maximum SMS is 22/= per SMS

From 0 to 100 SMS is 50/= per SMS
From 101 to 500 SMS is 40/= per SMS
From 501 to 1000 SMS is 35/= per SMS
From 1001 to 5000 SMS is 30/= per SMS
From 5001 to Maximum SMS is 22/= per SMS
Nyie ndio mnaotuletea huu ujinga wa BIKO na TATUMZUKA sio!?..
Anyway na mie nahitaji hiyo huduma yenu😀. Je nikihitaji nitakua nalipia kila napotaka tuma au napewa application baada ya hapo free!.
 
Nenda Infobip viva tower 2nd floor ukapewe kwa 25/- TZS per SMS. Hiyo database ya contractor jaribu kwemda ERB hivu upige deal upewe file.
 
Yaan hapo mm napitiaga mbali isije ikawa tuma pesa kwenye namba hii
 
Natafuta anaetoa huduma ya bulk sms with fair price anicheki asap, especially mwenye database ya contractors, mafundi dar es salaam na mikoani. Urgent - Thanks
Karibu mkuu 0687535650
 
Back
Top Bottom