Recent content by gambatoto

  1. G

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Mahojiano na Sheikh Farid wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar

    Huyu mpuuzi anajitafutia umaarufu kama wa OSAMA.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    Mwingine kanijibu "Peace and Love" si mchezo.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    Freemasonry
  4. G

    JamiiForums Tanzania JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    Tuache kujadili vitu ambavyo havina maana. Mbona mara nyingi huku kwetu Iringa tunapishana na magari ya jeshi yakiwa na wanajeshi. Tungeweza kuhoji kama jeshi lingetumika kutuliza fujo, lakini halikufanya hivo, tuache Umburula.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Analysis ya sherehe za miaka 35 ya ccm

    RAIS Jakaya Kikwete amekiri kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kina hatari ya kuanguka vibaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, ikiwa hali mbaya inayoendelea katika nchi haitarekebishwa. Kauli hiyo ya kwanza ya aina yake, aliitoa saa chache tu baada ya kutamba kwamba CCM ina uhakika wa kurudisha...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge CCM: Dr. Slaa na na Mwesigwa Baregu ni Watata

    Katika hali isiyo ya kawaida, hofu ya wabunge wa CCM katika mchakato wa uundwaji wa katiba mpya imetokana na kuogopa aina ya wajumbe watakaoingia kwenye tume ambayo Rais ataiunda. Soma sehemu hii: "Hoja nyingine iliyojengwa na wajumbe ni kwamba kama wataruhusu mabadiliko ya Katiba yafanyike...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    Hili hapa mkuu Wabunge CCM wamgomea JK
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    UHUSIANO kati ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wao, Rais Jakaya Kikwete, unazidi kuzorota, kiasi cha kutishia nafasi ya kiongozi huyo mkuu wa nchi, Tanzania Daima Jumapili limebaini. Baada ya juzi wabunge wa CCM kumshambulia na hata kutishia kupiga kura ya kutokuwa na...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

    Kuna kijana mmoja wa pikipiki amepita hapa National Nyakato na bendera ya CCM, kapigiwa milusi sana. Anaonekana anafanya kitu cha ajabu.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

    Hapo kwenye redi, huyo jamaa ananitia kichefuchefu sana.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

    Hii kauli haina shida, inatusaidia kujua IQ ya kiongozi tuliye naye.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Rostam atimkia Ulaya

    Kubenea amefanya kazi nzuri sana, amemng'ang'ania jamaa pamoja na mihela yake mpaka kakimbia. Next Lowassa........
  13. G

    JamiiForums Tanzania Rostam atimkia Ulaya

    Lilikuwa limebakia Dili moja tu, "KUUZA mitambo ya Dowans", amemaliza kazi kilichobaki ni kula bata.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Madiwani wa CHADEMA Arusha: Lema anahusika

    Hii habari ina utata, aidha ni ya kupima upepo au kutungwa au kuchonganisha au vyote.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Countdown ya CCM na hatima yao baada ya siku 90 leo

    Wameshindwa kuwavua magamba, Sasa NAPE and Co wasubiri kuvuliwa wao, THE POWER OF MONEY.
Back
Top Bottom