Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

Mwanahalisi ni Gazeti la kipuuzi sana, Kubenea, nae anataka ubunge, kumbe maneno mengi kujipendekeza kwa Slaa, kumbe nia yake nae ubunge.
Na wewe ni lini utakuwa na akili timamu? Slaa ana uwezo gani wa kumpa Ubunge Kubenea? hivi hili nalo linahitaji degree kulifahamu!!
 
Gazeti la mwanahalisi halimilikiwi na chadema,kwanza naliamini kwa reliable niuz na lipo independent,hebu mtoa hoja tueleze kiongozi wa chadema alohojiwa hapo.NAAMINI UMETUMWA KWANI HUELEWI MAANA YA MAKALA? Mwambie zitto NCCR wanamtamani sana

Anthony Komu ni nani ndani ya chadema? na si ndo mmiliki wa mwana halisi?
 
Hata mimi huwa sizishangai ID mpya kama hii ambayo umeiregister jana na leo tu umekuwa kasuku, na wala majukwaa mengine huendi ni hapa tu kwenye siasa mnapopatia mkate wenu wa kila siku, huko tuendako msipotafuta kazi za kufanya nakuhakikishia mtauza mpaka miili yenu maana wenye pesa wote sasa wameshakuwa mabasha.
Tafuteni kazi za kufanya jamani!!

Hizi ni Akili za Kunguru mgonjwa aise!! Yaani wewe hupo apa JF kupangia watu majukwaa ya kutembelea? JF sio wajinga kuweka majukwaa tofauti walikuwa wanajua kuwa kila mtu ruksa kutembelea jukwaa alipendalo.
 
user-online.png
sisi kwa sisi

Today 09:38
#1
Member Array

Join Date : 1st February 2012
Posts : 15
Rep Power : 304

icon1.png
Sakata la mgomo wa madaktari :mnyika jiuzulu upesi umetuaibisha na kutufedhesha

Tulisoma tamko la Chadema kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mawnasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watz.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.
Asikuumize kichwa kaahidiwa katika mgawo mpya wa posho
 
wakati mwingine mnapokuwa kwenye misiba angalieni na kuweni macho mnapokuwa mnamlilia marehemu...kuna watu wanalia huku wakitoa wasifu wa marehemu hadi mtu unashangaa maana kuna mambo mengine hayapaswi kusemwa hadharani mfano hili: maneno haya hapa chini hayakupaswa kusemwa hadharani na mwombolezaji ...huku ni kutoa siri za ndani za chama..

Regia Alishinda kura za maoni katika mchakato wa ndani ya chama. Katika kikao cha Kamati Kuu mmoja wa Wakurugenzi wa Chama akasema tunaye mgombea mwingine mzuri sana, Mwanasheria. Regia akaombwa kukaa pembeni. Akakubali. Kamati Kuu ikampitisha mtu ambaye hakwenda kwenye kura za maoni na wala hatukuwa tunamjua maana tuliambiwa na mtu tunayemwamini kwamba ni mgombea mzuri. Regia hakufurahishwa na uamuzi ule lakini kwa heshima na utiifu wa hali ya juu akakubali kutogombea. Siku za kurejesha fomu za kugombea zilipokuwa zinakwisha yule mgombea akatoa nje. Hakuonekana, kwa sababu mbalimbali ambazo sisi tuliokuwa mbali na Dar es Salaam na Morogoro hatuzijui. Chama hakikuwa na namna isipokuwa kurudi kwa Regia kumwomba aokoe jahazi. Regia hakusita. Akaendesha kampeni za uhakika akiwa hana mali wala jina kisiasa.
 
..........sijui watanzania tumerogwa na nani , badala ya kujadili hoja tumeingizwa chaka na wenye mawazo ama madogo au ya upande fulani, suala kilichoandikwa kina mashiko?

sio swala la nani kaandika, sasa hata katika akili ya kawaida tu unaona zitto yupo sahihi? tayari suala lilishakuwa la chama, nani kaanzisha hoja sio suala la msingi sana kwa upande moja, hapa ukiangalia utaona hata kama ni kidogo jinsi zitto alivyo ama mbinafsi (kujiweka juu ya taasisi-cdm) au anavyopenda kushabikia umimi.....
acha uongo kama hujui piga kimya mwanahalis linamilikiwa na Antony komu kwa fedha za ruzuku za chadema,habari ndio hiyo hatupendi kuwaumua lakini mnatuchokoza,tutasema sasa.

Raia mwema,mwanahalisi na t daima yote ni chadema type, japo yanasingana kutokana na viongozi wa cdm wanaoyamiliki kutofautiana katika mabo mbalimbali huko chamani ndio maana kila mtu anakimbilia kujijenga na kumbomoa mwenzake kwenye gazeti lake,pia mbowe na kubenea ni washkaji wakubwa sana sana licha ya komu kulimiliki mwanahalisi ambalo limetekwa na mafisadi.

Ndio maana tuna shaka sana na ukaribu wa chadema na mafisadi,wanchedema mkiona hao jamaa wanawachezea kwa ku side na mafisadi nendeni CCK mkakipe nguvu kile chama.

Hivi vyama ni sawa na makoti tu ukiona koti linakubana unalivua,namsikitikia sana dr slaa masikini,yeye peke yake ndio hana gazeti na hajui uhusiano wa Lowassa, Rostam, Mbowe na komu ilivyo, angejua angeondoka zake aende CCK
 
Mwanahalisi ni Gazeti la kipuuzi sana, Kubenea, nae anataka ubunge, kumbe maneno mengi kujipendekeza kwa Slaa, kumbe nia yake nae ubunge.
...........baba hata ww kwa porojo unaziweza!!!!!!!!!!!!
 
wakati mwingine mnapokuwa kwenye misiba angalieni na kuweni macho mnapokuwa mnamlilia marehemu...kuna watu wanalia huku wakitoa wasifu wa marehemu hadi mtu unashangaa maana kuna mambo mengine hayapaswi kusemwa hadharani mfano hili: maneno haya hapa chini hayakupaswa kusemwa hadharani na mwombolezaji ...huku ni kutoa siri za ndani za chama..

Regia Alishinda kura za maoni katika mchakato wa ndani ya chama. Katika kikao cha Kamati Kuu mmoja wa Wakurugenzi wa Chama akasema tunaye mgombea mwingine mzuri sana, Mwanasheria. Regia akaombwa kukaa pembeni. Akakubali. Kamati Kuu ikampitisha mtu ambaye hakwenda kwenye kura za maoni na wala hatukuwa tunamjua maana tuliambiwa na mtu tunayemwamini kwamba ni mgombea mzuri. Regia hakufurahishwa na uamuzi ule lakini kwa heshima na utiifu wa hali ya juu akakubali kutogombea. Siku za kurejesha fomu za kugombea zilipokuwa zinakwisha yule mgombea akatoa nje. Hakuonekana, kwa sababu mbalimbali ambazo sisi tuliokuwa mbali na Dar es Salaam na Morogoro hatuzijui. Chama hakikuwa na namna isipokuwa kurudi kwa Regia kumwomba aokoe jahazi. Regia hakusita. Akaendesha kampeni za uhakika akiwa hana mali wala jina kisiasa.

Hii kauli haina shida, inatusaidia kujua IQ ya kiongozi tuliye naye.
 
Hii ni moja tu kati ya rangi nyingi nyekundu ilizonazo Chadema.
 
Hivi wewe mleta unafiki hapa nikikwambia una masaburi ya kichina utakataa?
 
Mbona mnakwenda nje ya mada? Kwa kifupi ni kwamba Kubenea na Zitto hawaivi na bifu hili ni la siku nyingi.
Huwezi kuona katika Mwanahalisi Zitto anaandikwa kwa vizuri -- hata siku moja.

jawabu ni hilo -- mnakaa mnahangaika bure tu hapa na kutoa matusi.
 
Jamani tusitumie muda mwingi kujadiri hoja isiyokuwa na maana, huyu jamaa aneleta maada hana maana na zaidi anataka kutuchanganya tu, anaweza kuwa Nepi
 
Ninacho fahamu mimi misuguano ndani ya chama ipo hasa kwa hawa viongozi wetu wa juu.Huwa wanatengeneza makambi yao sasa vitu kama hivi ni vya kawaida ila kinachotokea ni baadhi ya waandishi kuchukulia udhaifu huo kuuza magazeti yao
 
si wote tuliosoma hilo gazeti hvy ni bora uweke mambo yaliyoandikwa.

wala usihangaike kulitafuta, ni moja kati ya nakala za hovyo za mwanahalisi nilizowahi kununua. Wametoa title front page kuwa eti Zitto alimzushia Regia. Kamzushiaje?? Eti kitendo cha Zitto kusema Regia ndie aliyetoa wazo la kwenda kumwona rais Zitto amezusha eti haikuwa kweli, wao mwanahalisi wanadai waliulizia kwenye vyanzo vyao ndani ya chadema na chadema wakasema eti ulikuwa ni uamuzi wa sekretarieti.
Kwenye hili Mwanahalisi wameonyesha chuki yao tu ya wazi kwa Zitto kwasababu hata Slaa(PhD) alisema mwenyewe kwenye ibada ya kumuaga Regia pale Karimjee kuwa wazo la kwenda kumwona Rais lilikuwa la Regia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom