Countdown ya CCM na hatima yao baada ya siku 90 leo

Hawa jamaa walikurupuka kufanya uamuzi huu na hii wamelikoroga BM atalaumiwa sana kwa kutoa pendekezo hili kama anavyo laumiwa Bilal kwa kutoa pendezo la wagombea nafasi zote kupigiwa kura za maoni na wanachama wote Na hili litawagharimu hawawezi kuwatoa/kuwafukuza hata baada siku 120 it is impossible kama hamuani ona wanavyo safishwa taratibu juu ya rushwaya rada bungeni na subiri uone wamegundua kuwa wakiondoka hawa ndiyo mwisho wa chama and this is the reality chama ni hawa jamaa wapo wengi na si watatu tu follow the list of shame according to Dr Slaa
Umesema kweli chama ni RACHEL.
 
kama wameshindwa kujipima wenyewe basi nguvu ya umma itawahukumu magamba katika count down ya 2015
 
Walikuwa wanatingisha kibiriti tu wamekuta kimejaa sasa wanagwaya na kutafuta pakutokea. Wakishindwa kujivua gamba basi Lowassa, RA na Chenge ndio watakuwa the most powerful people kule kwa akina magamba na hivyo kuanza kutengeneza mtandao wao mwingine kuelekea 2015 ili kuhakikisha Lowassa anaingia Ikulu.

Mkuu yaani umeamuwa kuwaambia ukweli mapema hivyo? wao wanajifanya hawaujui.
 
Ukweli ni kwamba mwenyekiti aliambiwa kama waliweza kumweka madarakani wakati kamati nzima ilimkataa, watashindwaje kumwondoa wakati yeye ndio gamba kuu katika chama.

Akapima na kutafakari kisha akaingia mitini. Huo ndio mwisho wa propaganda ya kujivua gamba.

dawa ya nape iko tayari. Mtayasikia mambo hivi karibuni
 
Hao jamaa wa 90 days ndio wenye chama, ssa sijui ni nani alitoa hilo Tamko.

Kwanza nasikia hao jamaa waligoa hata kuhojiwa wakasema mwenyekiti wa chama ndio
awahoji, wakijua jamaa anawagwaya. Hivyo hakuna mazungumzo yeyote yaliyofanyika.
 
Back
Top Bottom