Recent content by gambagumu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

    Kiwanda kitajengwa Tanga? Narrative za Ruto na hatimaye Dangote was just a ploy?..Kama kuna namna ya kumvuta kwa kile tumpe tu tunachoweza ku afford.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Dangote kishatupiga chenga Tanzania? Sasa kujenga Kenya Kiwanda cha Mafuta cha Trilioni 43. Ni baada ya kauli tata ya Rais Samia

    NAAMINI BADO REFINARY ITAJENGWA TANZANIA. SABABU 1. UWEPO WA EACOP. 2. UPATIKANAJI RAISI WA ARTHI. 3.BANDARI YA TANGA. IKIJENGWA MOMBASA. CRUDE ITATOTOKA WAPI? JE LITAJENGWA BOMBA JIPYA KUTOKA UGANDA? NAAMNINI HAPA WANACHEZA MCHEZO ILI WAPATE MASHARTI NAFUU...
  3. G

    JamiiForums Tanzania JWTZ nako kunahitajika reforms

    Usitegemee jeshi lijiingize kwenye mambo ya uchaguzi, jeshi kazi yake ni ulinzi.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwa macho ya kawaida utaona ni haki inagombaniwa, ila kwa taarifa za uhakika kinachopikwa ni Tanzania kuwa Congo ya pili

    Sorry inaweza kuwa kweli kwamba wapo watu wa nje wanaweza kutaka nchi iharibike, lakini mara zote watatumia weakness za ndani kutuingilia, cha kwanza kabisa ni kujitathmini ikiwa upo udhaifu wa ndsni ambao unawavutia maadui wa nje kutaka kutuvuruga.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Me niko Poland, we uko wapi?

    Nimepaa kama umeme hadi Marekani, uzuri nina green card
  6. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi: Tuna akaunti maalum ya kulipa madeni, nitaondoka madarakani sitaacha deni hata la Senti 5

    Kweli Magu alikua anaongozwa na Mungu sema tu basi.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ni mfanyabiashara kupitia kanisa lake na wala sio mtume kama wengine wanavyofahamu

    Ndio kuhubiri neno ni biashara ya Mungu na inandeshwa kwa gharama inayoitwa sadaka, kwa hiyo kama Mwamposa kapewa uhalali (upako) hakuna kosa anafanya anachotakiwa ni ku invest back in the business na ukiona kama huitaji basi wewe sio mteja, ila wateja wapo na akuna anayelazimishwa kutoa kama...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wachaga waendelea kukimbiza Wakinga, waongoza Tanganyika utajiri

    Itakua drama tu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jina lako JF (ID) lina maana gani na kwanini umejiita?

    Msoro
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

    Take some things positive unaweza ukamjoin.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada Niweze kuacha Kamari ya Aviator, Maisha yangu hayaendi vizuri, Kamari hii Inataka kunitoa Roho

    Mkuu hebu ukiwa na hela katoe sadaka halafu kwa watoto yatima, halafu Muombe Mungu
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tabia za wizi na udokozi

    Wanawake baadhi kwenye ndoa wako mguu mmoja ndani mwingine nje, kuwa makini usije siku ukalazimika kulipa madeni makubwa ambayo hutajua pesa zimetumikaje.
Back
Top Bottom